Vyombo vya Habari

Shambulio la polisi ya Ujerumani katika makao ya mrengo wa kulia wenye misimamo mikali

Shambulio la polisi ya Ujerumani katika makao ya mrengo wa kulia wenye misimamo mikali

Maelfu kadhaa ya polisi na vikosi vya usalama vya Shirikisho la Ujerumani vilivamia na kushambulia makao kadhaa ya kundi la mrengo wa kulia katika operesheni iliyofanyika katika pembe tofauti za nchi hiyo Jumatano asubuhi. Inasemekana kwamba wanachama wa kundi hilo walikuwa wamepanga kushambulia bunge la Ujerumani siku ambayo haikutajwa na kupindua serikali kwa kutumia nguvu….

Kiongozi Muadhamu asisitizia udharura wa kuondolewa udhaifu wa kiutamaduni

Kiongozi Muadhamu asisitizia udharura wa kuondolewa udhaifu wa kiutamaduni

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni la Iran lina wajibu wa kutambua kwa kina udhaifu na mapendekezo ghalati ya kiutamaduni katika nyuga tofauti na kuzipatia ufumbuzi wa kiutaalamu kwa ajili ya kueneza utamaduni wa kuwa na mapendekezo sahihi na ubunifu unaofaa. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei alisema hayo…

Zaidi ya watoto milioni 3.5 wa Kenya kukosa skuli mwezi Januari kutokana na ukame

Zaidi ya watoto milioni 3.5 wa Kenya kukosa skuli mwezi Januari kutokana na ukame

Shirika la misaada ya kibinadamu la Save the Children limetoa taarifa na kusema kuwa, zaidi ya watoto milioni 3.5 wa Kenya hawataweza kujiandikisha shuleni wakati masomo yatakapoanza mwezi Januari 2023 kutokana na ukame wa kupindukia. Katika taarifa yake ya jana Jumanne, shirika hilo limesema, utafiti wake unaoesha kuwa, ukame unazidi kuwa mbaya na watoto wengi…

Waziri wa Usalama Marekani aeleza wasiwasi wake juu ya vurugu na machafuko ya ndani

Waziri wa Usalama Marekani aeleza wasiwasi wake juu ya vurugu na machafuko ya ndani

Waziri wa Usalama wa Nchi wa Marekani ameeleza wasiwasi wake kuhusiana na ukatili na machafuko ya ndani akivitaja kuwa ni moja ya vitisho vikubwa vinavyofungamana na ugaidi wa ndani ya nchi hiyo. Matokeo ya uchunguzi wa mashirika ya kisheria na taasisi za utekelezaji wa sheria yaliyotolewa katikati ya mwaka huu wa 2022 yanaonyesha kuwa uhalifu wa…

Al Jazeera yawasilisha mashtaka ya mauaji Shireen kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC

Al Jazeera yawasilisha mashtaka ya mauaji Shireen kwenye mahakama ya kimataifa ya ICC

Mtandao wa Habari wa Al -Jazeera umetangaza kuwa umewasilisha kesi ya mauaji ya mfanyakazi wake, Shireen Abu Akleh, katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa huko Hague. Hatua hiyo imechukuliwa miezi 6 tangu Shireen Abu Akleh alipouawa kinyama kwa kupigwa risasi na askari wa utawala haramu wa Israel baada ya timu ya masuala ya sheria ya mtandao wa al…

Waziri wa Lebanon asusia jopokazi la Uholanzi kwa kuwemo humo Mzayuni

Waziri wa Lebanon asusia jopokazi la Uholanzi kwa kuwemo humo Mzayuni

Waziri wa Utamaduni wa Lebanon ametangaza kuwa atajiondoa katika jopokazi la ushirikiano baina ya Lebanon na Uholanzi kutokana na kuwemo humo mkurugenzi wa makumbusho ya utawala wa Kizayuni. Shirika la habari la IRNA limeripoti habari hiyo kumnukuu Mohammed Wassam Al-Mortaza, Waziri wa Utamaduni wa Lebanon, akisema hayo jana Jumanne kwamba Lebanon imetia saini makubaliano na…

Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar

Ripoti: Harakati ya kutetea ushoga iliibua tatizo kubwa ndani ya timu ya taifa ya Ujerumani huko Qatar

Harakati ya “kuziba midomo” iliyofanywa na wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ujerumani kwenye mechi yao ya ufunguzi katika Kombe la Dunia 2022 huko Qatar dhidi ya Japan, ilisababisha matatizo ndani ya kambi ya timu hiyo, na kuibua tofauti kati ya wachezaji ambao walikataa kushiriki kwenye kampeni ya kutetea ushoga. Harakati hiyo ya…

Mazungumzo ya amani ya Congo mjini Nairobi yaakhirishwa kufungwa, waasi watoka mkutanoni

Mazungumzo ya amani ya Congo mjini Nairobi yaakhirishwa kufungwa, waasi watoka mkutanoni

Sherehe za kufunga mazungumzo ya wiki nzima ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ziliongoza mazungumzo ya amani jijini Nairobi, Kenya ziliakhirishwa jana Jumatatu kutokana na mipango duni. Wajumbe ambao ni pamoja na wawakilishi kutoka makundi makubwa ya waasi na waathirika wa vita vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walitoka nje ya mkutano huo dakika…