Mdororo wa kiuchumi duniani wazua hofu katika ukanda wa Afrika Mashariki
Wananchi wa Afrika Mashariki wana wasi wasi mkubwa kutokana na makadirio ya kushuka kwa uchumi duniani mwaka 2023 baada ya Shirika la Fedha Duniani kutangaza kuwa karibu theluthi moja ya dunia itadorora kiuchumi, ikiongozwa na mataifa yenye uchumi mkubwa zaidi duniani ikiwa ni pamoja na Marekani, China na Ulaya. Makadirio ya hivi majuzi yanaweka matarajio…
Iran yamtia mbaroni kinara wa chombo cha kigaidi cha ‘Iran International’
Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimemtia mbaroni kinara wa chombo cha habari cha kigaidi kinachojiita ‘Iran International’ huko kaskazini magharibi mwa nchi. Taarifa ya Kituo cha Kijeshi cha Hamzah Sayyidu Shuhadaa imeeleza kuwa, kiongozi huyo wa ‘Iran International’ amekamatwa baada ya kufuatiliwa na kutambuliwa na vikosi vya usalama vya Jamhuri ya…
Shirikisho la Soka la Marekani lasalimu amri mkabala wa Iran
Shirikisho la Soka la Marekani limelazimika kuondoa bendera ya Iran isiyo na nembo halisi ya Jamhuri ya Kiislamu kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, na kuweka iliyo sahihi, kufuatia malalamiko ya Tehran. Katika hatua ya kichokozi na kichochezi, timu ya soka ya wanaume ya Marekani ililiondoa neno ‘Allah’ katika bendera ya Jamhuri ya Kiislamu…
Gazeti la Uhispania: Mechi ya Iran na Marekani ni mpambano mkubwa wa kisiasa
Gazeti la Marca la Uhispania limeitaja mechi ya soka ya michuano ya Kombe la Dunia kati ya timu ya taifa ya kandanda ya Iran na Marekani kuwa ni mpambano mkubwa wa kisiasa. Timu ya taifa ya kandanda ya Iran itamenyana na timu ya taifa ya Marekani katika mechi ya tatu ya hatua ya makundi ya…
Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3
Baada ya Iran na nchi zilizounda kundi la 5+1 kufikia mwafaka Julai 2015 juu ya kadhia ya nyuklia ya Iran na kusaini Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi JCPOA, nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani, -iwe ni baada ya kuanza kutekelezwa JCPOA mnamo mwaka 2016 au baada ya kujitoa Marekani kwenye makubaliano hayo…
Jeshi la Somalia lachukua udhibiti wa mji wa kimkakati wa El Dhere kutoka Al Shabab
Serikali ya Somalia siku ya Jumamosi ilitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limechukua tena udhibiti wa mji wa kimkakati wa El Dhere kutoka kwa kundi la kigaidi la al-Shabaab. Katika mkutano na waandishi wa habari, Abdirahman Yusuf al-Adala, naibu waziri wa habari, alisema kuwa zaidi ya magaidi 100 wa al-Shabaab, wakiwemo makamanda wao 12, waliuawa…
Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu
Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni. Alhamisi iliyopita Ujerumani iliwasilisha ombi la kuitishwa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwa kisingizio kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…
Athari za kale zathibitisha: Uingereza ina historia ndefu ya kuuza watumwa
Wanaakiolojia wa Jumba la Makumbusho la Akiolojia la London wametangaza kwamba utumwa umekuwepo nchini Uingereza tangu nyakati za Warumi. Ni baada ya ripoti ya wanaakiolojia wa Jumba la Makumbusho la Akiolojia la London kuthibitisha kwamba, mifupa iliyopatikana katika eneo la Midlands Mashariki ya Uingereza ni ya mwanamume aliyekuwa na umri wa miaka 20 hadi 30…