Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili. Waziri Mkuu wa Iraq Mohammad Shia Al Sudani pamoja na ujumbe wake alioambatana nao huko Kuwait jana Jumatano walilakiwa katika ikulu ya al Bayan nchini humo na…
Msikiti Mkubwa Zaidi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia Wazinduliwa nchini Oman
Waziri wa Wakfu Mohammed Said al-Ma’amari na Ayatullah Muhsin Araki, mjumbe wa Baraza Kuu la Hauza (vyuo vikuu vya Kiislamu ) Iran, walikuwa miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi. Pia kulikuwa na wanazuoni na maulamaa wa madhehebu ya Shia na Sunni kutoka Oman na nchi nyingine za Kiarabu. Msikiti wa Jami al-Salam huko Muscat…
Sera ya machafuko ya Tel Aviv nchini Ukraine; Mafanikio ya Wazayuni kutokana na vita hayakuwa ila migogoro
Tovuti ya mtandao wa Al-Mayadeen katika ripoti yake sambamba na kuashiria kushindwa kwa sera za kigeni za utawala wa Kizayuni katika mgogoro wa Ukraine, imesisitiza kuwa, Tel Aviv haijapata mafanikio yoyote zaidi ya mzozo baina ya pande zote mbili za vita. Katika ripoti ya uchambuzi, tovuti ya mtandao wa “Al-Mayadeen” imezungumzia kushindwa kwa sera za…
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Waarabu wanajitenga na sisi wakati wa Kombe la Dunia na wanapinga fikra ya uhalalishaji wa mapenzi ya jinsia moja
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimesema kuwa, wakaazi wa nchi za Kiarabu duniani wanajiweka kando na sisi na wako kinyume na uhalalishaji wa mapenzi ya jinsia moja. Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni viliripoti jana (Jumanne, Novemba 22) kwamba mashabiki wanaozungumza lugha ya Kiarabu walijitenga na vyombo vya habari vya lugha ya…
Bunge la nchi wanachama wa NATO lalitangaza shirikisho la Russia ‘dola la kigaidi’
Baraza la mabunge ya nchi wanachama wa shirika la kijeshi la NATO limepitisha azimio ambalo limelitaja shirikisho la Russia kuwa ni ‘dola la kigaidi’. Kwa mujibu wa tovuti ya chaneli ya CNBC, Yehor Chernov, mkuu wa ujumbe wa kudumu wa Ukraine kwenye baraza la mabunge ya nchi wanachama wa NATO, ametangaza katika taarifa kwamba, katika mkutano wake…
Bunge la Waarabu lalaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia milioni moja wa Syria
Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiarabu umelaani hatua ya Uturuki ya kuwakatia maji raia zaidi ya milioni moja wa Syria katika mkoa wa al-Hasakah. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiarabu umetoa taarifa na kutangaza kuwa, kuendelea hatua ya Uturuki ya kukata maji mara kwa mara nchini…
Magaidi washambulia mji na kambi ya jeshi na kuua askari, raia
Wanachama wa genge moja la kigaidi wameshambulia kambi ya jeshi na mji mmoja huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua idadi kubwa ya raia na maafisa usalama. Duru za kiusalama zimeliambia shirika la habari la AFP kuwa, mashambulio hayo yanayoaminika kufanywa na wanamgambo wa kundi la kigadi la ISIS Wilaya ya Afrika Magharibi (ISWAP) yameua…
Rais Raisi: Kushika nafasi ya kwanza katika kanda kwenye sekta ya afya ni kielelezo cha ustawi wa Iran
Rais Ebrahim Raisi amesema kushika nafasi ya kwanza katika eneo na ya kumi na tano duniani katika uga wa afya na tiba ni ishara na kielelezo cha maendeleo na ustawi wa nchi. Rais Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyasema hayo leo alipotembelea Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu katika kikao cha tume…