Vyombo vya Habari

Infantino: Nchi za Ulaya zinafanya unafiki, hazina hadhi ya kutoa somo la maadili

Infantino: Nchi za Ulaya zinafanya unafiki, hazina hadhi ya kutoa somo la maadili

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino, amezishambulia nchi za Magharibi zinazoiandama Qatar, mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Dunia, eti kwa rekodi yake ya haki za binadamu, akisema hatua inayochukuliwa na wakosoaji ni ya kinafiki. Katika mkutano wake na waandishi habari mjini Doha, siku moja kabla ya kuanza mashindano ya Kombe la…

Rais wa FIFA: Hakuna pombe viwanjani wakati wa Kombe la Dunia

Rais wa FIFA: Hakuna pombe viwanjani wakati wa Kombe la Dunia

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) amepuulizia mbali mashinikizo ya kutaka kuruhusiwa pombe viwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia zinazoanza leo nchini Qatar. Baada ya serikali ya Qatar kutangaza kuwa haitaruhusu vileo uwanjani wakati wa mechi za Kombe la Dunia nchini humo, nchi za Magharibi zililalamika na kukosoa vikali msimamo huo. Bosi…

Kapteni wa timu ya Iran: Vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha vita vya kisaikolojia

Kapteni wa timu ya Iran: Vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha vita vya kisaikolojia

Nahodha wa timu ya taifa ya kandanda ya Iran katika Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar amesema, vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha mchezo wa vita vya kisaikolojia sambamba na kukaribia mechi kati ya timu ya nchi hiyo na Iran. Timu ya taifa ya soka ya Iran imepangwa pamoja na Uingereza, Wales na Marekani…

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Shari bila shaka itasamabratishwa

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Shari bila shaka itasamabratishwa

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema lengo kuu la wachochezi wa machafuko ya hivi karibuni ni kuliingiza taifa la Iran katika medani na kuongeza kuwa: “Mchafuko hayo bila shaka yatakomeshwa na taifa kuendelea kusonga mbele kwa nguvu zaidi na ari mpya katika uwanja wa maendeleo ya nchi.” Kwa mujibu wa…

Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani limepasishwa ambapo limetuma ujumbe ulio wazi kufuatia kupungua kwa kura za nchi zilizoliunga mkono licha ya mashinikizo mapya ya kisiasa ya Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya Iran….

UNHCR: Wakimbizi wa DRC wasilazimishwe kurejea mashariki mwa nchi

UNHCR: Wakimbizi wa DRC wasilazimishwe kurejea mashariki mwa nchi

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limerejea wito wake wa kupiga marufuku kulazimishwa wasaka hifadhi kurudi makwao nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, ikiwa ni pamoja na wasaka hifadhi ambao madai yao yamekataliwa, katika majimbo ya Kivu Kaskazini, Kivu Kusini na Ituri. Katika mkutano wake na waaandishi wa Habari jijini Geneva…

Rwanda yaafiki ‘kusitishwa mapigano mara moja’ mashariki mwa DR Kongo

Rwanda yaafiki ‘kusitishwa mapigano mara moja’ mashariki mwa DR Kongo

Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta na Rais Paul Kagame wa Rwanda wamekubaliana juu ya haja ya waasi wa M23 kusitisha mapigano na kuondoka katika maeneo waliyoyateka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hayoa yameelezwa kwenye taarifa iliyotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Taarifa hiyo ya EAC imeongeza kuwa: Kenyatta na Kagame…

Interpol yatoa kibali cha kukamatwa Isabel Dos Santos

Interpol yatoa kibali cha kukamatwa Isabel Dos Santos

Polisi ya Kimataifa, INTERPOL, imetoa kibali cha kimataifa cha kukamatwa kwa bilionea wa Angola na bintiye rais wa zamani wa nchi hiyo Isabel dos Santos. Shirika la habari la Lusa la Ureno, likinukuu duru rasmi, limesema kibali cha INTERPOL kilitolewa baada ya waendesha mashtaka wa Angola kuliomba shirika hilo “kumtafuta, kumkamata” na kumrejesha dos Santos….