Vyombo vya Habari

Yemen yalaani mauaji ya kijana Ali Atef huko Riyadh

Yemen yalaani mauaji ya kijana Ali Atef huko Riyadh

Wizara ya Masuala ya Wageni ya Yemen imelaani mauaji yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya Saudia dhidi ya raia wa nchi hiyo”Ali Atef Hazban Al-Ali” mjini Riyadh huku familia yake ikifichua maelezo ya kushtua ya tukio hilo. Mtandao wa Al-Alam umeripoti kuwa, familia ya “Ali Atef Hazban Al-Ali” imethibitisha katika mkutano na waandishi wa habari…

Iran: Ni kichekesho kwa nchi kama Australia kuzungumzia haki za binadamu

Iran: Ni kichekesho kwa nchi kama Australia kuzungumzia haki za binadamu

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Waziri Mkuu wa Australia ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran na kueleza kuwa, matamshi hayo ya Antony Albanese yametegemea taarifa za uongo. Nasser Kan’ani Chafi amemtahadharisha Waziri Mkuu huyo wa Australia akisema kuwa, matamshi kama hayo hayasaidii chochote…

Uhuru Kenyatta ziarani Goma huku waasi wa M23 wakijaribu kuuteka mji wa Kibamba

Uhuru Kenyatta ziarani Goma huku waasi wa M23 wakijaribu kuuteka mji wa Kibamba

Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye ni mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ameutembelea mji wa Goma ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakati wapiganaji wa kundi la M23 walikuwa wakipigana NA jeshi la taifa FARDC, kaskazini mwa mji huo. Maafisa wa usalama na…

Winnie Odinga: Nchi za Magharibi zimeingilia uchaguzi wa urais mwezi Agosti wa Kenya

Winnie Odinga: Nchi za Magharibi zimeingilia uchaguzi wa urais mwezi Agosti wa Kenya

Winnie Odinga, bintiye kiongozi wa Muungano wa Azimio, Raila Odinga, amesema kuwa nchi za Magharibi zilitumiwa kushawishi na kuyapa mwelekeo matokeo ya uchaguzi wa urais wa Agosti 9. Akizungumza katika Katika mahojiano na runinga ya Citizen, Winnie ameishutumu Marekani kwa kuingilia masuala ya kisiasa ya Kenya mara kwa mara kwa maslahi ya kibinafsi. Binti huyo…

Russia: Kilichotokea Poland ni ithibati kuwa Magharibi inakaribia zaidi kuanzisha Vita vya Dunia

Russia: Kilichotokea Poland ni ithibati kuwa Magharibi inakaribia zaidi kuanzisha Vita vya Dunia

Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha juu ya kuzuka vita vya dunia kufuatia tuhuma zilizotolewa na Magharibi dhidi ya Moscow katika tukio la kombora lililoangukia ndani ya ardhi ya Poland. Radio Zeit ya Poland ilitangaza jana usiku kuwa makombora mawili yamepiga kijiji cha Przewodów katika eneo la Lobelski Voivodeship mashariki mwa…

Wademokrati wapigania kupitisha sheria ya ndoa za jinsia moja kutambuliwa rasmi Marekani

Wademokrati wapigania kupitisha sheria ya ndoa za jinsia moja kutambuliwa rasmi Marekani

Kiongozi wa Wademokrati waliowengi katika Seneti ya Marekani Chuck Schumer ametangaza kuwa Seneti itaupigia kura mswada wa kuunga mkono ndoa za watu wa jinsia moja wiki hii baada ya kufikiwa makubaliano kati ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la nchi hiyo. Tangu mwaka 2015, Mahakama Kuu ya serikali kuu ya Marekani ilitoa hakikisho la kutambuliwa…

Rais wa China: Uhuru wa Taiwan na kupatikana amani havitangamani kama maji na moto

Rais wa China: Uhuru wa Taiwan na kupatikana amani havitangamani kama maji na moto

Rais Xi Jinping wa China amesema Taiwan kuwa nchi huru na kupatikana amani katika Mlango-Bahari wa kisiwa hicho havitangamani kama yalivyo maji na moto. Kwa mujibu wa televisheni ya Russia Today, katika matamshi aliyotoa nje ya kikao cha G20, Rais Xi Jinping wa China amesema, suala la Taiwan liko katika orodha ya maslahi makuu na ya msingi…

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan abadilisha msimamo kuhusu Marekani

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan abadilisha msimamo kuhusu Marekani

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ametoa matamshi yanayotafautiana na msimamo wake wa huko nyuma kuhusu Marekani kwa kusema: “endapo nitashinda uchaguzi, nitahakikisha tunakuwa na uhusiano na Washington utakaotupa izza na heshima”. Khan, kiongozi wa chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf na waziri mkuu wa zamani wa Pakistan, ambaye baada ya kuuzuliwa na bunge amekuwa…