Vyombo vya Habari

Kuuawa shahidi kijana wa Kipalestina aliyepigwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni

Kuuawa shahidi kijana wa Kipalestina aliyepigwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni

Kijana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 17, ambaye alijeruhiwa na askari wa Israel, alifariki kutokana na ukali wa majeraha yake. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, Ramzi Hamed, kijana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 17 ambaye alijeruhiwa katika shambulio la askari wa utawala huo ghasibu katika mji wa Salwad ulioko mashariki mwa Ramallah,…

Hatua ya Wizara ya Mambo Kigeni ya Marekani katika shambulio la polisi wa Albania kwenye makao makuu ya kundi la kigaidi la wanafiki

Hatua ya Wizara ya Mambo Kigeni ya Marekani katika shambulio la polisi wa Albania kwenye makao makuu ya kundi la kigaidi la wanafiki

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari vya Marekani, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alitoa jibu kuhusiana na shambulio la polisi wa Albania kwenye makao makuu ya kundi la kigaidi la wanafiki waliopo kwenye Kambi ya Ashraf. Tovuti ya Fox News imemnukuu msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani,…

Upanuzi wa jeshi la anga la  Amerika katika kambi ya Ain al-Asad nchini Iraq

Upanuzi wa jeshi la anga la Amerika katika kambi ya Ain al-Asad nchini Iraq

Mwanaharakati wa kisiasa nchini Iraq alitangaza kuwa jeshi la Amerika limepanua kitengo  chake cha anga kwa asilimia ishirini katika kambi ya Ain al-Asad. Wanachama wakuu wa Muungano wa Mfumo wa Uratibu (Muungano wa Chama cha Shia cha Iraq) wametangaza Alhamisi hii kuhusu upanuzi wa kitengo cha mas’ala ya angani cha Jeshi la Marekani katika kambi…

Mkanganyiko wa Wazayuni katika habari ya uwezekano wa kupatikana makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani

Mkanganyiko wa Wazayuni katika habari ya uwezekano wa kupatikana makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani

Kufuatia kuchapishwa kwa ripoti inayodaiwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni kuhusiana na uwezekano wa kutiwa saini makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani, Waziri wa Vita wa utawala huu ghasibu, katika kujaribu kuweka vizuizi katika kuzuia uwezekano wa kufikia makubaliano aina yoyote katika suala hili; alisema kuwa Alhamisi hii atazungumza na…

Hamas: Kuharibu nyumba za wafungwa ni kitendo cha kigaidi

Hamas: Kuharibu nyumba za wafungwa ni kitendo cha kigaidi

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) ilitangaza kuwa, kitendo cha adui cha kuharibu nyumba ya Osama al-Tawil, ambaye mmoja wa wafungwa wa Kipalestina na mmoja wa watekelezaji wa operesheni ya Shafi Shimron; ni cha kigaidi. Hazem Qassem, ambaye ni msemaji wa Hamas amesema kua Vitendo vya wavamizi hao vilizidisha hamasa zaidi ya wapiganaji…

Vizazi vya Wapalestina huponya majeraha ya vita vya siku 6 na upinzani

Vizazi vya Wapalestina huponya majeraha ya vita vya siku 6 na upinzani

Licha ya kwamba kimepita kipindi cha miaka hamsini na sita tangu kushindwa kwa mwezi Juni na athari zake mbaya, na licha ya uhalalishaji wa mtawalia na makubaliano ya amani pamoja na utawala wa Kizayuni unaoukalia kwa mabavu, vizazi vya Wapalestina bado vinaamini kwamba ni bunduki pekee ndio itakayoweza kuikomboa ardhi yao na kuwatimiza haki zao….

Jabali akutana na Nakhale: vuguvugu la kuunda masimulizi ya ukinzani ni hitaji la kimsingi

Jabali akutana na Nakhale: vuguvugu la kuunda masimulizi ya ukinzani ni hitaji la kimsingi

Huku akitoa pongezi kwa ushindi wa hivi karibuni wa muqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni katika kikao na kiongozi wa Jihad ya Kiislamu ya Palestina, Peyman Jabali alitangaza uwekaji wa masharti ya muqawama dhidi ya utawala huo ghasibu kuwa ni ushindi mkubwa, wa kudumu na wa mafunzo. Katika mkutano huo ambao umefanyika ikiwa…