Vyombo vya Habari

Kukabidhiwa watoto wa kike wa Kiislamu kwa mashoga nchini Uswidi kwazua wimbi la malalamiko

Kukabidhiwa watoto wa kike wa Kiislamu kwa mashoga nchini Uswidi kwazua wimbi la malalamiko

Mkanda wa video uliorushwa hewani kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mashoga wawili waliopewa haki ya kulea mtoto wa kike wa Kiislamu umeibua hasira za watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii katika nchi za Kiislamu. Wakimbizi katika nchi za Ulaya wanakabiliwa na mateso na changamoto mpya. Katika mkondo huo inaripotiwa kuwa, iwapo Idara ya Masuala ya…

WFP kusitisha misaada Cabo Delgado Msumbiji kutokana na ukata wa fedha

WFP kusitisha misaada Cabo Delgado Msumbiji kutokana na ukata wa fedha

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani (WFP) limetangaza kuwa, litalazimika kusitisha msaada muhimu wa kibinadamu kwa wakazi milioni moja wa jimbo la Cabo Delgado nchini Msumbiji kutokana na ukata wa fedha. Taarifa hiyo imeeza kuwa, shirika hilo litalazimika kusitisha utoaji misaada kwa raia hao endapo halitapokea fedha za nyongeza ifikapo kilele…

Mwandishi akamatwa kwa kuuliza swali kuhusu silaha za maangamizi za Marekani

Mwandishi akamatwa kwa kuuliza swali kuhusu silaha za maangamizi za Marekani

Swali kuhusu silaha za maangamizi ya umati za Marekani limekuwa sababu ya kukamatwa kwa mwandishi wa habari huko Texas. Marekani ni moja kati ya eti waungaji mkono wakuu wa wazo la Mashariki ya Kati isiyo na silaha za maangamizi ya halaiki, lakini kivitendo, Washington sio tu haijachukua hatua yoyote katika uwanja huu, lbali pia imechukua…

Jitihada za kufunga kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ujerumani

Jitihada za kufunga kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ujerumani

Katika juhudi za madola ya Magharibi za kuunga mkono ghasia na machafuko nchini Iran, vyama vya muungano unaotawala nchini Ujerumani vimetoa wito wa kufungwa Kituo cha Kiislamu na Kiutamduni cha Iran katika mji wa Hamburg nchini humo. Katika mkondo huo, muungano wa vyama tawala nchini Ujerumani umewasilisha rasimu bungeni ukitaka kufungwa Kituo cha Kiislamu cha…

Nasrullah: Iran imezishinda tena njama za Marekani na Israel

Nasrullah: Iran imezishinda tena njama za Marekani na Israel

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia machafuko ya hivi karibini nchini Iran na kufeli kwa njama za maadui na kusisitiza kuwa, Kwa mara nyingine tena Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzima njama na fitina za Marekani na utawala haramu wa Israel. Sayyid Hassan Nasrullah aliyasema hayo usiku wa kuamkia leo katika…

Serikali ya Ethiopia: Jeshi linadhibiti asilimia 70 ya eneo linalotaka kujitenga la Tigray

Serikali ya Ethiopia: Jeshi linadhibiti asilimia 70 ya eneo linalotaka kujitenga la Tigray

Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, asilimia 70 ya eneo linalotaka kujitenga la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo linadhibitiwa na vikosi vya jeshi. Kwa mujibu wa shirika la habari la Ufaransa AFP, Rizwan Hossein, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, ametangaza leo katika ujumbe wa Twitter: “70% ya Tigray iko…

Magadi 97 wa Al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia

Magadi 97 wa Al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia

Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza mapema leo kuwa kuwa magaidi 97 wa al-Shabaab wameuawa wakati wa operesheni mbili ziilizotekelezwa na jeshi la nchi hiyo na vikosi vya usalama katika mikoa ya Galguduud na Shabelle ya Chini. Kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Somalia (SUNA), Wizara ya Habari imeelzea katika taarifa kwamba magaidi…

Usiri wa London katika kutangaza idadi ya watoto wa Afghanistan waliouawa kinyama na jeshi la Uingereza

Usiri wa London katika kutangaza idadi ya watoto wa Afghanistan waliouawa kinyama na jeshi la Uingereza

BBC imeripoti kuwa takriban watoto 64 wa Afghanistan waliuawa katika operesheni za jeshi la Uingereza wakati wa miaka ya vita nchini Afghanistan, ambapo serikali ya nchi hii hapo awali ilikuwa imekubali kesi 16 tu. Vyombo vya habari vya Uingereza vilitangaza kuwa, watoto wasiopungua 64 waliuawa katika operesheni za jeshi la nchi hiyo nchini Afghanistan kuanzia…