EAC yasisitiza kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Kongo
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekubaliana katika kikao kilichofanyika Cairo, Misri kwamba mgogoro wa mashariki mwa Kongo unapasa kutatuliwa kwa njia za kiraia na kupitia mazungumzo. Maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yameathiriwa na ukosefu wa amani tangu miaka 20 iliyopita ambapo mapigano kati ya vikosi vya serikali na makundi…
Utafiti: Theluthi moja ya Wazungu wamenyanyaswa kingono wakati wa masomo vyuoni
Uchunguzi uliofanyika barani Ulaya uliochapishwa Jumatatu wiki hii umeonyesha kwamba karibu thuluthi moja ya wanafunzi au wafanyakazi katika vyuo vikuu wamepitia aina fulani ya unyanyasaji wa kingono. Kulingana na utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Leibniz ya Sayansi ya Jamii huko Cologne, Ujerumani, karibu thuluthi moja ya waliohojiwa wamenyanyaswa kingono wakiwa masomoni au kazini, asilimia…
Uchunguzi: Wamarekani wingi weusi hawawezi kushiriki katika chaguzi za Marekani
Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa idadi isiyo na kikomo ya raia weusi wa Marekani hawawezi kushiriki katika chaguzi zinazofanyika chini humo. Utafiti wa hivi karibuni zaidi wa taasisi ya “The Sentencing Project” unaonyesha kuwa asilimia 21 ya raia weusi katika jimbo la Tennessee huko Marekani hawawezi kupiga kura katika chaguzi za nchi hiyo. Licha ya juhudi…
Tutaendelea na mapambaSyria: Tutaendelea na mapambano dhidi ya ugaidi hadi tutakapoisafisha ardhi yetu yoteno dhidi ya ugaidi hadi tutakapoisafisha ardhi yetu yote
Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa, mapambano dhidi ya magenge ya kigaidi huko kaskazini na kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu yataendelea hadi kila shibri ya ardhi ya Syria itakaposafishwa kikamilifu. Hayo yamekuja baada ya jeshi la Syria kusambaratisha kambi za mafunzo za magenge ya kigaidi katika mkoa wa Idlib wa kaskazini…
Sisitizo jingine la Marekani la kuunga mkono vurugu na machafuko nchini Iran
Ned Price, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani ameendelea kuunga mkono vurugu na machafuko nchini Iran na kukana kabisa kuhusika nchi yake katika vurugu hizo. Price amesema kuhusiana na madai ya Rais Joe Biden wa Marekani na matamshi yake ya wazi ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran ambayo yamekabiliwa na ulegezaji…
Trump, Warepublican wasema kuna mpango wa kuiba kura za uchaguzi wa katikati ya muhula
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na washirika wake wa mrengo wa kulia katika chama cha upinzani cha Republican tayari wameanza kutilia shaka uhalali wa matokeo ya uchaguzi wa Jumanne wa bunge wa katikati mwa muhula “Haya twendeni tena! Uchaguzi wa hitilafu!,” CNN ilimnukuu Trump akiwaandikia wafuasi wake milioni 4.43 kwenye mtandao wake wa…
Shekhe Mkuu wa Al Azhar aungwa mkono kwa kuitisha mazungumzo baina ya Sunni na Shia
Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) imekaribisha wito wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar wa kuanzisha mazungumzo kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni. Katibu Mkuu wa WFPIST Hujjatul Islam Hamid Shahriari amemuandika barua Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar mjini Cairo Sheikh Ahmed al-Tayyib, na kukaribisha wito…
Iran yaipa mkono wa pole Tanzania kwa vifo vya watu waliofariki katika ajali ya ndege
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya raia kadhaa wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Nasser Kan’ani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesikitishwa na kuhuzunishwa na vifo vya…