Vyombo vya Habari

Saudi Arabia yatakiwa ikomeshe vitendo vya kuwanyonga kiholela wapinzani

Saudi Arabia yatakiwa ikomeshe vitendo vya kuwanyonga kiholela wapinzani

Jumuiya na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu yameelezea wasiwasi mkubwa yaliyonao kutokana na kuongezeka mno hatua za utawala wa Saudi Arabia za kuwanyonga kiholela wapinzani. Jumuiya hizo zimewatolea mwito viongozi wa Saudia na mamlaka husika katika nchi hiyo ya utawala wa kifalme zikomeshe mauaji na hukumu za kiholela za adhabu ya kifo. Mwito…

Makumi ya maiti za wachimba migodi ‘haramu’ zapatikana Afrika Kusini

Makumi ya maiti za wachimba migodi ‘haramu’ zapatikana Afrika Kusini

Polisi ya Afrika Kusini inachunguza kisa cha kugunduliwa makumi ya maiti za watu wanaoshukiwa kuwa wachimba migodi ‘haramu’ katika mji wa Krugersdorp, magharibi mwa jiji la Johannesburg. Msemaji wa Polisi ya Afrika Kusini, Brenda Muridili  amesema waliopoa maiti 19 kwenye mgodi binafsi katika mji huo hapo jana, huku miili mingine miwili ikigunguliwa mapema leo Alkhamisi. Jeshi…

Baraza la Usalama lakataa kuchunguza maabara za kibiolojia za US Ukraine

Baraza la Usalama lakataa kuchunguza maabara za kibiolojia za US Ukraine

Nchi za Magharibi kwa mara nyingine tena zimelitumia vibaya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kwa kuzuia ombi la Russia la kutaka kufanyika uchunguzi kuhusu uwepo wa maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine. Marekani, Ufaransa na Uingereza zimelipigia veto ombi hilo la Russia, ambalo hata hivyo limeungwa mkono na China. Nchi…

Matamshi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu; Marekani imehusika katika machafuko nchini Iran

Matamshi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu; Marekani imehusika katika machafuko nchini Iran

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatano siku mbili kabla ya maadhimisho ya tarehe 13 Aban (4 Novemba 1978) ambayo hapa nchini ni Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa, alihutubia kikao cha mamia ya wanafunzi, akiitaja siku hiyo kuwa ni kielelezo cha uovu, ukhabithi na dhihirisho la kupata pigo na kushindwa…

HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi

HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema wananchi wa Palestina wataendeleza kwa nguvu zote jitihada na mapambano ya kulikomboa kikamilifu taifa lao kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel. HAMAS imesema hayo katika taarifa iliyoitoa kwa mnasaba wa kutimia miaka 105 tangu kutolewa Azimio la Balfour lililoandaa uwanja wa kuasisiwa utawala haramu wa Israel huko…

Imran Khan anusurika kifo baada ya kupigwa risasi ya mguuni

Imran Khan anusurika kifo baada ya kupigwa risasi ya mguuni

Imran Khan, Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan amenusurika kifo baada ya gari lake kushambuliwa kwa risasi leo na yeye mwenyewe kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi ya mguuni. Ripoti mbalimbali zinasema kuwa, msafara wake ulishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana mashariki mwa Pakistan. Imran Khan alikuwa akiongoza mkusanyiko mkubwa kuelekea mji mkuu Islamabad kudai uchaguzi…

Umoja wa Mataifa waionya Twitter kuhusu matamshi ya kueneza chuki, ubaguzi

Umoja wa Mataifa waionya Twitter kuhusu matamshi ya kueneza chuki, ubaguzi

Rekodi mbaya ya mmiliki mpya wa Twitter, Elon Musk ya kuchukua misimamo isiyo ya kawaida na kuibua masuala yenye utata imeufanya Umoja wa Mataifa kumuonya dhidi ya kuchapisha maudhui yoyote ya chuki katika mtandao wa kijamii wa Twitter. Ripoti ya shirika la habari la Sputnik imemnukuu msemaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric akisema: “Tumetangaza…

Matokeo ya Sensa: Idadi ya watu Tanzania yafikia milioni 61.74

Matokeo ya Sensa: Idadi ya watu Tanzania yafikia milioni 61.74

Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Agosti mwaka huu akisema kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 61,741,120. Akitangaza matokeo hayo, Rais Samia amesema, kati yao wanawake ni milioni 31.6 sawa na asilimia 51 na wanaume milioni 30.53 sawa na asilimia 49 ya…