Kushadidi ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Uingereza; kielelezo cha chuki dhidi ya Uslamu barani Ulaya
Katika muendelezo wa ubaguzi dhidi ya Waislamu wanaoishi nchini Uingereza, vyombo vya habari vimeripoti wiki hii juu ya kuweko mpango wa kupokonywa uraia wa nchi hiyo Waislamu wanaoishi nchini Uingereza na kutangazwa kuwa raia wa daraja la pili. Taasisi ya Mahusiano ya Mbari ya Uingereza (The Institute of Race Relations) imesema, sera ya serikali ya…
Adhanom: Mwisho wa corona unakaribia
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa dunia inakaribia mwisho wa mlipuko wa maambukizi ya Corona. Kwa mujibu wa takwimu zilizochapishwa kuhusu kiwango cha maambukizi ya virusi vya corona na idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 duniani, hadi sasa watu milioni 615, laki 5 na elfu 3,802 wameambukizwa ugonjwa huo, na milioni…
Kurejea balozi wa Imarat nchini Iran baada ya miaka 7; sisitizo la Abu Dhabi la kuimarisha ushirikiano na Tehran
Balozi wa Imarati amerejea hapa Tehran baada ya kupita miaka saba ambapo katika mazungumzo yake na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran amesisitizia suala la kukuzwa na kuimarishwa uhusiano baina ya pande mbili. Akizungumza siku ya Jumanne na Hussein Amir-Abdollahian, Saif Mohammed Al Zaabi, balozi wa Imarati nchini Iran ameonyesha…
Bahrain inaongoza kwa idadi ya wafungwa wa kisiasa Uarabuni
Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain (BCHR) kimesema Bahrain inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya wafungwa wa kisiasa miongoni mwa nchi zote za Kiarabu. Taarifa ya asasi hiyo ya kutetea haki za binadamu Bahrain imesema vyombo vya usalama vya utawala wa Manama vinawashikilia wafungwa wa kisiasa zaidi ya 4,500 katika jela mbalimbali za nchi…
Watu 10 wauawa katika mashambulio kwenye jimbo la Tigray, Ethiopia
Taarifa kutoka kaskazini mwa Ethiopia zinasema kuwa, waasi wasiopungua 10 wa TPLF wanaopigania kujitenga jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia wameuawa sambamba na kuanza mapigano mapya kati ya wanajeshi wa serikali na waasi hao. Mapigano baina ya serikali ya Ethiopia na waasi wa Tigray yalianza mwezi Novemba 2020 na mbali na kusababisha ukosefu mkubwa…
Kitabu kipya chafichua hofu ya Trump ya kulipiziwa kisasi na Iran kwa mauaji ya Kamanda Soleimani
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, aliwaambia rafiki zake kabla ya kumalizika muhula wake wa urais kuwa, alikuwa akihofia kwamba Iran ingejaribu kumuuwa ili kulipiza kisasi mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa mapinduuzi ya Kiislamu (Sepah). Hayo ni kwa mujibu wa kitabu kipya….
Ripoti: Malkia Elizabeth alikuwa nembo ya utawala wa kikoloni
Elizabeth II, Malkia wa Uingereza aliyefariki dunia siku chache zilizopita alikuwa akitambuliwa na watu wengu kuwa ni nembo utawala wa kikoloni. Malkia Elizabeth II wa Uingereza alifariki dunia Alhamisi jioni akiwa na umri wa miaka 96. Kifo cha Elizabeth II na utawala wake wa muda mrefu wa miaka 70 kuanzia 1952 hadi 2022, ambao nusu yake…
William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya
William Samoei Ruto ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF). Rais William Ruto amekula kiapo cha kulitumikia taifa leo Jumanne katika hafla zilizofanyika katika Uwanja wa Kimataifa wa Kasarani jijini Nairobi. Watu zaidi ya 60,000 wameruhusiwa kuingia katika uwanja huo kushuhudia historia mpya…