Vyombo vya Habari

Amir-Abdollahian: Iran daima itaendelea kuwa pamoja na wananchi wa Yemen

Amir-Abdollahian: Iran daima itaendelea kuwa pamoja na wananchi wa Yemen

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu daima itaendelea kuwa pamoja na wananchi wa Yemen. Hossein Amir-Abdollahian amesema hayo hapa Tehran katika mazungumzo yake na Mkuu wa timu ya mazungumzo ya serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ambapo pande mbili zimejadiliana masuala ya pande mbili, ya kieneo na ya…

Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe

Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe

Waziri Mkuu wa Ugiriki amesema kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow vimetoa pigo la kiuchumi kwa nchi zenyewe za Ulaya kabla ya hata Russia. Shirika la habari la FARS limemnukuu Kyriakos Mitsotakis akisema hayo jana mbele ya waandishi wa habari na kuongeza kuwa, nchi za Magharibi zimekumbwa na madhara mengi kwa hatua yao…

Wakuu wa nchi 20 wanatarajiwa kushiriki sherehe za kuapishwa rais mteule William Ruto nchini Kenya

Wakuu wa nchi 20 wanatarajiwa kushiriki sherehe za kuapishwa rais mteule William Ruto nchini Kenya

Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kenya, Karanja Kibicho amesema kuwa, takriban Wakuu wa Nchi 20 wanatarajiwa kuwasili nchini Kenya kushiriki katika sherehe za kuapishwa Rais mteule William Ruto kesho Jumanne. Kibicho alitoa tangazo hilo Jumamosi wakati Kamati ya Makabidhiano ya Madaraka ilipotembelea Uwanja wa Kasarani katika mji mkuu, Nairobi, ambapo ndipo…

Kifo cha Malkia; mashabiki wa soka Uingereza waitisha pesa zao

Kifo cha Malkia; mashabiki wa soka Uingereza waitisha pesa zao

Jumuiya ya Mashabiki wa Soka Uingereza (FSA) imetoa mwito wa mashabiki kurejeshewa pesa walizotoa kwa ajili ya kununua tiketi za kushuhudia michuano ya mpira wa miguu; lakini baadaye ikaakhirishwa kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa nchi hiyo. Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Malcolm Clarke ameyataka mashirika na mamlaka zinazosimamia kandanda nchini humo kuhakikisha kuwa mashabiki waliokuwa…

Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani mauaji ya mtu mmoja mwenye asili ya Afrika yaliyofanywa na askari polisi wa nchi hiyo. Waandamanaji hao wamekusanyika katika Medani ya Bunge kabla ya kuandamana katika barabara ya Whitehall katikati ya London, na kisha wakakusanyika katika ofisi za shirika la ujasusi la Scotland Yard….

Mwanasoka wa zamani Uingereza apinga ubaguzi wa rangi katika kipindi cha Malkia Elizabeth

Mwanasoka wa zamani Uingereza apinga ubaguzi wa rangi katika kipindi cha Malkia Elizabeth

Ripota na mwanasoka wa zamani wa Uingereza amepinga ubaguzi wa rangi katika jamii ya nchi hiyo wakati wa utawala wa Malkia Elizabeth II aliyeaga dunia juzi Alkhamisi akiwa na umri wa miaka 96. Baada tu ya kutangazwa kifo cha Malkia Elizabeth II, Trevor Sinclair ambaye sasa ni kocha na mtaalamu wa soka, ameandika ujumbe kwenye mtandao…

UNICEF yaitaka serikali ya Taliban ifungue skuli zote za wasichana Afghanistan

UNICEF yaitaka serikali ya Taliban ifungue skuli zote za wasichana Afghanistan

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeitaka serikali ya Taliban inayotawala Afghanistan izifungue skuli zote za wasichana nchini humo. Baada ya kuingia madarakani Agosti 15, 2021, kundi la Taliban lilizifunga skuli za wasichana za ngazi ya kati na sekondari kwa lengo la kufanya baadhi ya mageuzi. Shirika la habari la Shafaqna Afghanistan…

Makala ya BBC kuhusu uhusiano wa Malkia wa Uingereza na Afrika yazua utata

Makala ya BBC kuhusu uhusiano wa Malkia wa Uingereza na Afrika yazua utata

Video ya BBC kuhusu uhusiano wa Malkia wa Uingereza na Afrika ilisababisha hasira kwa watazamaji, hadi chombo hicho cha habari kulazimika kuzuia uwezo wa watazamaji kutoa maoni. Idhaa ya serikali ya Uingereza, BBC, ililazimika kuzuia maoni ya watazamaji baada ya kuchapisha makala kuhusu uhusiano wa muda mrefu wa Malkia na Afrika kwenye Twitter. Katika video…