Vyombo vya Habari

Russia yasisitiza kuhamishwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York

Russia yasisitiza kuhamishwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York

Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza kuwa Moscow inazingatia kikamilifu pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka Marekani hadi sehemu nyingine. Alexey Drobinin, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema: “Katika miaka ya mwanzo mwa kuasisiwa Umoja wa Mataifa, wakati pande zote zilikubali kwamba makao…

Ugonjwa wa ajabu wa kupumua wagunduliwa nchini Argentina

Ugonjwa wa ajabu wa kupumua wagunduliwa nchini Argentina

Ugonjwa mpya wa ajabu wa kupumua uliogunduliwa nchini Argentina hadi sasa umeathiri watu 10, na tayari watatu kati yao wamefariki dunia. Mamlaka za afya za Argentina zinajaribu kutafuta chanzo cha ugonjwa huo, ambao unasababisha matatizo ya homa ya mapafu (pneumonia), homa na maumivu ya tumbo. Mgonjwa mpya wa kumi wa ugonjwa huo ameripotiwa kuwa mzee mwenye…

Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mgombea wa urais wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022. Mgombea kiti cha urais kwa tiketi ya Muungano wa Azimo One Kenya Raila Odinga aliitaka Mahakama ya Juu ya Kenya kutupilia mbali ushindi wa William…

CNN: Saudia inaelekea kuwa kitovu cha matumizi ya madawa ya kulevya Mashariki ya Kati

CNN: Saudia inaelekea kuwa kitovu cha matumizi ya madawa ya kulevya Mashariki ya Kati

Televisheni ya CNN ya Marekani imetangaza habari ya kukamatwa kete karibu milioni 47 za madawa ya kulevya nchini Saudi Arabia na kuongeza kuwa, nchi hiyo ya kifalme hivi sasa inaelekea kuwa kitovu cha matumizi ya mihadarati katika eneo la Mashariki ya Kati. Katika taarifa yake hiyo, televisheni ya CNN ya Marekani imetangaza kwamba, siku ya…

Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran

Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran

Mwanadiplomasia mstaafu na mzoefu wa Nigeria Babaji Umar Misau amesema, ana matumaini kuwa nchi yake itaendelea kuwa na ushirikiano mzuri na wenye manufaa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo rafiki yake wa zamani kama ilivyokuwa kwa miongo mingi. Misau ambaye ni balozi wa zamani wa Nigeria katika nchi za Burkina Faso, Kenya na Somalia, amezungumzia umuhimu…

Watu 20 wauawa Somalia katika shambulio la kigaidi la al-Shabab

Watu 20 wauawa Somalia katika shambulio la kigaidi la al-Shabab

Watu wasiopungua 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi la al-Shabab katikati mwa Somalia. Duru za usalama zinasema kuwa, shambulio hilo la al-Shabab lililolenga mabasi kadhaa katika mji wa Hiran katikati mwa Somalia limetokea Jumamosi ya leo na kwamba, wanawake na watoto ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo. Taarifa zaidi…

Taliban: Hatuna mpango wa kuutambua rasmi utawala haramu wa Israel

Taliban: Hatuna mpango wa kuutambua rasmi utawala haramu wa Israel

Msemaji wa Ofisi ya Kisiasa ya Taliban nchini Qatar amesema kuwa, kundi hilo halina mpango wa kuutambua rasmi utawala haramuu wa Israel. Mulla Muhammad Naeem amekanusha taarifa za baadhi ya vyombo vya habari vinavyoeleza kwamba, kundi la Taliban halina tatizo na nchi yoyote ile ukiwemo utawala ghasibu wa Israel na kubainisha kwamba, amenukuliwa vibaya kwani huo…

Umoja wa Mataifa unasaidia mamilioni ya waathirika wa mafuriko Pakistan

Umoja wa Mataifa unasaidia mamilioni ya waathirika wa mafuriko Pakistan

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanafanya kila juhudi kuhakikisha kwamba, yanawasaidia zaidi ya watu milioni 33 walioathirika na mafuriko nchini Pakistan baada ya mvua kunyesha kwa kiwango kikubwa na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1200. Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeeleza kusikitishwa na mafuriko ya Pakistan yaliyosababisha vifo zaidi ya 1200…