Vyombo vya Habari

Mahakama ya Upeo Kenya yaanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Mahakama ya Upeo Kenya yaanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais

Mahakama ya Upeo Kenya leo inaanza kusikiliza kesi ya kupinga kutangazwa kwa William Ruto kuwa Rais Mteule. Pande husika zimetoa madai ya kila aina na hivyo majaji saba wa mahakama hiyo ya kilele watakuwa na kibarua kigumu kutofautisha kati ya ukweli, porojo na uongo ili kuamua kesi hiyo kwa haki bila ushawishi wowote kutoka nje….

Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq

Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq

Jumapili ya jana tarehe 29 Agosti Iraq Jumapili ilishuhudia sokomoko na matukio ambayo kimsingi yalitabiriwa kutokea. Wimbi la machafuko hayo lilienea huku chanzo na chimbuko lake likiwa ni mwenendo wa kisiasa wa Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq. Jumapili ya jana Ayatullah Hairi Marjaa Taqlidi wa Kishia ambaye anatambuliwa na wengi kama muungaji mkono wa…

Wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo dhidi ya Russia

Wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo dhidi ya Russia

Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland amesema kuwa, kuna wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wanapinga vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia. Shirika la habari la Sputnik limemnukuu Péter Szijjártó akisema hayo na kuongeza kuwa, Poland haina hata hamu ya kuzungumzia vikwazo zaidi vya Magharibi dhidi ya Russia hususan linapokuja suala la mafuta…

Iran: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni msingi wa utulivu na usalama

Iran: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni msingi wa utulivu na usalama

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Ali Bagheri Kani amesema utatuzi wa kadhia ya Palestina ndio msingi wa kuanzishwa utulivu na usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati), na kueleza kwamba mpango wowote unaopuuza haki za taifa la Palestina husababisha kukosekana utulivu na kuvuruga usalama wa eneo hilo. Bagheri Kani aliyasema hayo katika mkutano…

Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais

Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais

Wanachama wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika wamewasili jijini Nairobi, kufuatilia shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) hivi karibuni. Timu hiyo inaongozwa na Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Mohammed Chande Othman. Wengine katika timu hiyo ya uangalizi wa kesi hiyo…

Muqtada Sadr atangaza kujiuzulu siasa

Muqtada Sadr atangaza kujiuzulu siasa

Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq ametangaza kujiuzulu harakati na shughuli zote za kisiasa. Uamuzi huo ambao haukutarajiwa hasa katika kipindi hiki cha mkwamo wa kisiasa nchini Iraq ambao mrengo wake unatuhumiwa kuhusika, ameuchukua baada ya taarifa muhimu iliyotolewa na Ayatullah Sayyid Kadhim Hairi. Sayyid Muqtada Sadr ametangaza kuwa, hakuna wakati ambao…

Zaidi ya maafisa 8,000 wa polisi wa Somalia wapewa mafunzo na kikosi cha AU

Zaidi ya maafisa 8,000 wa polisi wa Somalia wapewa mafunzo na kikosi cha AU

Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia kimetoa mafunzo na ushauri wa kiusalama kwa maafisa polisi 8,167 wa Somalia kikosi hicho kilipotumwa kwa mara ya kwanza nchini humo mwaka 2009. Mkuu wa Polisi wa Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS), Rex Dundun amesema hayo na kuongeza kuwa, maafisa…

Muungano vamizi wa Saudia wazuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya Yemen

Muungano vamizi wa Saudia wazuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya Yemen

Shirika la mafuta la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeizuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya nchi hiyo. Mbali na kuiba mamilioni ya mapipa ya mafuta kutoka Yemen, muungano wa kijeshi wa Saudia umeshadidisha hali mbaya ya uhaba wa mafuta na fueli katika nchi hiyo masikini na iliyoathiriwa…