Vyombo vya Habari

Kwa mara nyingine Ujerumani yafeli kupata gesi ya kufidia ile ya Russia

Kwa mara nyingine Ujerumani yafeli kupata gesi ya kufidia ile ya Russia

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, kwa mara nyingine serikali ya Ujerumani imefeli katika juhudi zake za kutafuta gesi ya kufidia ile ya Russia. Huko nyuma vyombo hivyo vya habari viliripoti kufeli Ujerumani kununua gesi ya Qatar na sasa hivi vimeripoti kufeli tena baada ya kushindwa kuingiza nchini humo gesi kutoka Canada. Jana Jumatano shirika la…

Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

Edward “Ned” Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya. Naye Nasser Kan’ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo…

Jeshi la Iran laendeleza mazoezi ya ndege za kivita zisizo na rubani

Jeshi la Iran laendeleza mazoezi ya ndege za kivita zisizo na rubani

Mazoezi ya Pamoja ya Ndege Zisizo na Rubani (droni) 1401 ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameendelea kwa siku ya pili leo ambapo droni za kivita zimefanikiwa kutekeleza oparesheni zao kwa mafanikio. Mazoezi hayo ambayo yalianza Jumatano yanajumuisha droni za kivita 150 na yanafanyika kote katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Katika mazoezi…

Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran

Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran. Hussein Amir-Abdollahian amesema hayo leo jijini Dar es Salaam katika kikao cha wanaharakati wa masuala ya kiuchumi na biashara wa Iran na Tanzania ambapo…

Rais wa Somalia atangaza vita dhidi ya kundi la al-Shabab, aahidi kulitokomeza

Rais wa Somalia atangaza vita dhidi ya kundi la al-Shabab, aahidi kulitokomeza

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ametangaza vita dhidi ya kundi la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab ambalpo limekuwa likifanya mashambulio na mauaji mara kwa mara katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Rais huyo mpya wa Somalia ameahidi vita vikali vya kutokomeza kundi la al-Shabab katika taarifa yake ya kwanza kwa taifa tangu wanamgambo…

UK: Tuko tayari kutumia silaha za atomiki ikitulazimu

UK: Tuko tayari kutumia silaha za atomiki ikitulazimu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ambaye anatazamiwa kupanda ngazi na kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema serikali yake haitasita kutumia silaha za maangamizi za nyuklia, iwapo nchi hiyo italazimika kufanya hivyo. Liz Truss ambaye anaongoza katika mchuano wa kugombea kiti cha Waziri Mkuu wa Uingereza alisema hayo jana Jumanne mjini Birmingham katika mkutano wa…

Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni

Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni

Kundi la raia wa Kenya limeifungulia mashitaka serikali ya Uingereza katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya, likitaka iwajibishwe kwa jinai ilizotenda dhidi ya wananchi wa Kenya enzi za ukoloni. Katika faili hilo, Wakenya hao wamesema mababu zao waliteswa na kukandamizwa na wakoloni Waingereza, mbali na kufukuzwa kwenye ardhi zao. Wakili Joel Kimutai Bosek anayeliwakilisha…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika. Hiyo ni ziara rasmi ya kwanza ya Hossein Amir-Abdollahian barani Afrika tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran. Aliwasili nchini Mali…