
Mgogoro wa kiuchumi barani Ulaya; kushadidi ufakiri wa chakula na fueli Uingereza
Katika miezi ya hivi karibuni hali ya kiuchumi katika akthari ya mataifa ya bara Ulaya imezidi kuwa mbaya na kuzusha wasiwasi mkubwa miongoni mwa wakazi wa bara hilo. Sadiq Khan, Meya wa mji wa London ametoa indhari kuhusu kuweko msimu wa baridi usio na chakula wala joto majumbani. Meya huyo wa jiji la London ametangaza…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasali nchini Mali na kuonana na wenyeji wake
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anaendelea na ziara yake ya kuzitembelea nchi za Afrika na tayari ameanza mazungumzo na viongozi wa Mali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Hossein Amir-Abdollahian ameandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi wa…

Jinai mpya ya Marekani Somalia, Biden ameua Wasomali 465
Shirika linalochunguza mashambulizi ya anga ya kimataifa limefichua kuwa Marekani inaficha idadi halisi ya vifo vya raia nchini Somalia na kwamba idadi ya waliopoteza maisha katika nchi hiyo ya Afrika ni mara 30 zaidi ya ile iliyotangazwa na Pentagon. Kwa mujibu wa taarifa ya tovuti ya “Truthout”, mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Somalia katika…

Odinga aenda mahakamani kupinga matokeo ya urais Kenya
Mgombea urais wa Kenya kwa tiketi ya chama cha Muungano wa Azimio la Umoja wa One Kenya, Raila Odinga amewasilisha mahakamani shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC hivi karibuni. Odinga ameongozana na mgombea mwenza, Martha Karua, na vigogo wengine wa muungano huo akiwemo Kalonzo…

Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China
Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China. Edward “Ned” Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani…

Viongozi wa Jumuiya ya SADC wahamasisha ukuaji uchumi na kilimo
Mkutano wa 42 wa viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ulimazilika jana katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Kinshasa, huku wakuu wa jumuiya hiyo wakihamasisha ukuaji wa uchumi, kilimo na juhudi zaidi katika sekta ya madini. Mkutano wa mwaka huu ulikuwa na kaulimbiu isemayo “kuhamasisha viwanda…

Mali yasema Ufaransa inasaidia magaidi, yaitisha kikao Baraza la Usalama
Mali imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanya mkutano wa dharura ili kusitisha kile inachokitaja kuwa ni “vitendo vya uchokozi” vinavyofanywa na Ufaransa kwa kukiuka mamlaka yake, kuunga mkono makundi ya magaidi wakufurishaji na ujasusi. Barua iliwasilishwa kwa waandishi wa habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Mali siku ya Jumatano baada…

Kenya: Kamati Yatangaza Siku Ya Kuapishwa Rais Mpya Kuwa Ya Mapumziko
FARAAN: Siku ya kuapishwa kwa Rais wa Tano wa Kenya itakuwa sikukuu ya kitaifa, kamati ya kusimamia kuhamishwa kwa mamlaka kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta hadi kwa mrithi wake ilisema Ijumaa. Kamati hiyo inayoongozwa na Mkuu wa Utumishi wa Umma Joseph Kinyua, ilifanya kikao chake cha kwanza. Bw Kinyua alisema kamati hiyo inangojea Tume Huru…