
Qatar kujenga upya Ukanda wa Gaza
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas ilitangaza kuwa, nchi ya Qatar ilikubali kujenga upya nyumba zilizoharibiwa wakati wa mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza. Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina alitangaza Ijumaa mchana kuwa alikuwa na mazungumzo ya…

Odinga ampiku Ruto; Wakenya waendelea kusubiri kwa hamu matokeo ya urais
Raila Odinga ambaye anagombea kiti rais katika uchaguzi mkuu nchini Kenya kwa chama cha Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, yupo kifua mbele katika matokeo ya muda, saa chache baada ya mpinzani wake wa karibu anayewania kwa chama cha UDA, William Ruto kuongoza katika matokeo ya awali ya zoezi hilo lililofanyika Jumanne. Kwa mujibu…

Ukaidi wa Tel Aviv juu ya muendelezo wa mashambulizi
Sambamba na siku ya tatu ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza, muqawama ya Palestina bado inaendelea kurusha makombora katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni karibu na Ukanda wa Ghaza na mji wa Quds unaokaliwa kimabavu. Duru za hivi punde ni kuwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza yalianza…

Saudi Arabia yafungua anga zake kwa ndege za utawala wa Kizayuni
Vyanzo vya habari viliripoti Leo hii asubuhi kwamba Saudi Arabia imefungua anga zake kwa njia zote za usafiri wa anga. Vyanzo hivyo vimeripoti kuwa Saudi Arabia imefungua anga yake kwa njia zote za usafiri wa anga zinazozingatia kanuni za anga za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ya Reuters, Kurugenzi Kuu ya Usafiri wa Anga…

Makubaliano ya utawala wa Kizayuni ya kuikabidhi Saudi Arabia visiwa vya Misri
Utawala wa Kizayuni umeafiki mpango wa jumla wa kuikabidhi nchi ya Saudi Arabia visiwa viwili vya Misri. Shirika la Habari la Kimataifa la Fars limetoa ripoti kua; tovuti ya Marekani imeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni umeafiki mpango wa jumla kuhusu hadhi ya kisheria ya visiwa viwili vya Misri katika Mlango wa Bahari wa Tiran. Hatua…

Vyombo vya habari vya Kizayuni: Somalia inajaribu kuafikiana na Tel Aviv
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vilidai kwamba serikali ya Somalia inajaribu Kurekebisha mahusiano na utawala huo na kujaribu kuurudisha katika hali ya kawaida. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Fars, vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vilidai kuwa Mogadishu imeamua kuchunguza suala la kuhalalisha uhusiano na utawala…

Wimbi jipya la maambukizi ya Corona latazamiwa Ufaransa.
Mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya sayansi wa serikali ya Ufaransa ametahadharisha kuhusu ongezeko la wimbi jipya la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 ifikapo mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu litakalosababishwa na aina mpya ya kirusi cha corona. Akizungumza katika mahojiano na redio ya RTL ya Ufaransa, Jean- Francois Delfraissy ameeleza kuwa, maambukizi mapya…

Wamarekani waandamana kutaka kubadilishwa sheria ya kumiliki bunduki nchini humo
Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika majimbo na miji mbalimbali ya Marekani ukiwemo mji mkuu Washington, kushinikiza kuangaliwa upya sheria inayoruhusu kuuzwa na kumiliki silaha za moto kiholela nchini humo; siku chache baada ya kujiri mauaji ya kutisha huko Texas, ambapo watoto 19 wa shule na walimu wawili waliuawa kwa kufyatuliwa risasi. Wanaharakati…