Vyombo vya Habari

Kuongezeka kwa Umri wa kisheria wa ununuzi na umiliki wa silaha ya bunduki katika Jimbo la New York

Kuongezeka kwa Umri wa kisheria wa ununuzi na umiliki wa silaha ya bunduki katika Jimbo la New York

Wabunge wa jimbo la New York wamepitisha mswada wa kupiga marufuku uuzaji wa silaha za nusu-otomatiki kwa watu walio na umri wa chini ya miaka 21 Mswada huo unakuja chini ya wiki tatu baada ya mvulana wa miaka 18 kushambulia duka moja huko Buffalo, New York, na kuua watu 10, wengi wao wakiwa weusi. Seneti…

Waziri wa Kizayuni: Sielewi wasiwasi wa polisi kuhusu bendera ya Palestina!

Waziri wa Kizayuni: Sielewi wasiwasi wa polisi kuhusu bendera ya Palestina!

Waziri wa Ushirikiano wa Kieneo wa Kizayuni katika mazishi ya marehemu mwandishi wa habari wa Al-Jazeera, amesema kuwa mienendo ya jeshi la Kizayuni ni utovu wa kimaadili na haelewi sababu ya wao kuogopa bendera ya Palestina. Kwa mujibu wa Fars News, Waziri wa Ushirikiano wa Kieneo wa Israel Issawi Frij alikosoa mienendo ya jeshi la…

Haaretz: Jeshi la Israel lakiri mauaji ya Shirin Abu Aqla

Haaretz: Jeshi la Israel lakiri mauaji ya Shirin Abu Aqla

Jeshi la Israel limekiri kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Al-Jazeera katika mji wa Jenin baada ya kupigwa risasi na wanajeshi wa Israel kulingana na uchunguzi uliofanyika kuhusu mauaji ya mwanahabari huyo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Fars, licha ya madai ya maafisa waandamizi wa utawala wa muda wa Kizayuni kwamba…

Moscow: Pfizer na Moderna walihusika katika mpango wa kijeshi wa kibaolojia nchini Ukraine

Moscow: Pfizer na Moderna walihusika katika mpango wa kijeshi wa kibaolojia nchini Ukraine

Afisa wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi alisema kuwa rais wa sasa wa Marekani amesimamia binafsi uendeshaji wa maabara za kibaolojia nchini Ukraine, akiongeza kuwa makampuni ya dawa ya Pfizer na Moderna pia yalihusika katika mpango huo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Fars, licha ya jitihada za Marekani na washirika wake…

Kauli zenye kulaani kuuawa kishahidi mwandishi wa habari wa Al-Jazeera wa Kipalestina na wanamgambo wa Kizayuni.

Kauli zenye kulaani kuuawa kishahidi mwandishi wa habari wa Al-Jazeera wa Kipalestina na wanamgambo wa Kizayuni.

Pande mbalimbali zimesisitiza ulazima wa ufufunguzi wa mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa mauaji ya mwandishi wa habari wa Al-Jazeera. Shirin Nasri Abu Aqleh mwandishi habari Mpalestina wa Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar ameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel alipokuwa akiakisi machafuko katika kambi ya wakimbizi Wapalestina mjini Jenin. Kwa mujibu…

Shambulio kubwa la udukuzi kwa utawala wa Kizayuni

Shambulio kubwa la udukuzi kwa utawala wa Kizayuni

Kufuatia shambulio la udukuzi dhidi ya utawala wa muda wa Kizayuni, kampuni kubwa zaidi ya usafiri ya utawala huo imeshindwa kuendelea na shughli zake. Kwa mujibu wa Kundi la Kimataifa la Shirika la Habari la Fars, vyombo vya habari vya utawala wa muda wa Kizayuni viliripoti shambulio la mtandao lililoenea kwenye tovuti na seva za…

Hizbullah yalaani shambulio la kigaidi katika jangwa la Sinai

Hizbullah yalaani shambulio la kigaidi katika jangwa la Sinai

Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani shambulio la kigaidi lililolenga askari wa jeshi la Misri katika jangwa la Sinai. Japokuwa mashambulio kadhaa ya anga na nchi kavu yaliyofanywa na jeshi la Misri katika miaka ya karibuni yamepunguza nguvu za kundi la kigaidi la “Wilayat ya Sinai”, lakini mashambulio ya kigaidi dhidi ya askari wa jeshi…

Facebook yaufuta ukurasa wa shirika la televisheni la iFilm 2

Facebook yaufuta ukurasa wa shirika la televisheni la iFilm 2

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa IRIB alitoa maoni kuhusu kuondolewa kwa ukurasa wa Facebook wa iFilm 2 kutoka kwenye mtandao wa kijamii. Ahmad Norouzi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa IRIB, alisema kwenye ukurasa wake wa kijamii: “Katika wakati ambao kwamba waasi wamefanya kila juhudi ili kuzusha mvutano kati ya Wairani na…