
Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vyafedheheka na kukanganyika katika vita vya Yemen
Saudi Arabia, ambayo imeshindwa vita vya Yemen, inaonekana kuchanganyikiwa kutokana na makosa yake katika vyombo vya habari. Mwaka wa saba wa vita vya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen unaelekea kumalizika huku muungano huo ukiendelea kupata vipigo mtawalia kimoja baada ya kingine. Vikosi vya jeshi la Yemen vinazidi kuimarika katika vita vya nchi kavu, anga na…

Mgongano kati ya demokrasia na utambulisho wa Israeli
Israeli iliundwa kwa misingi ya dini ya Kiyahudi. Uyahudi ukiwa na unwani wa taifa na pia vilevile kama dini ulikuwa msingi wa mfumo wa kisiasa wa Israeli, lakini uwepo wa tamaduni na dini zingine kama vile dini ya Kiislamu iliyokua ya Waarabu ulipinga wazo la serikali ya Kiyahudi ya kwamba je, mfumo wa kisiasa wa…

Idadi ya wanajeshi watoro yaongezeka katika jeshi la Israeli
Miongoni mwa habari za Israel zimeripoti kuwa idadi ya askari wanaotoroka jeshi la utawala huo inaongezeka kadri siku zinavyokwenda. Tovuti ya lugha ya Kiebrania ya “Walla” imeripoti kuwa, mwaka huu wa 2021 pekee idadi ya askari wa Isael wanaozungumza lugha y Kiarabu waliotoroka kutokana na kubaguliwa na vilevile wanajeshi wa kawaida wanaotoroka huduma za…

Wanawake Afghanistan wapigwa marufuku kwenda safari ndefu bila wanaume
Maagizo hayo yametolewa siku ya Jumapili chini ya utawala wa Taliban ambapo shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights limesema marufuku hiyo inawafanya wanawake kujihisi kama wafungwa. Taliban imesema wanawake wa Afghanistan wanaotaka kusafiri umbali mrefu kwa barabara wanapaswa kupatiwa usafiri ikiwa tu wataandamana na ndugu zao wa kiume. . Maagizo hayo, yametolewa…

Rais wa Lebanon Aoun atoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo ‘ya dharura’ ya kitaifa
Beirut, Lebanon – Rais wa Lebanon Michel Aoun ametoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo ya “haraka” ya kitaifa kati ya vyama tawala vya nchi hiyo huku akilaani miezi kadhaa ya kupooza kisiasa serikalini. “Uvurugaji wa kimakusudi, wa kimfumo na usio na msingi unaosababisha kuvunjika kwa taasisi na serikali lazima ukome,” Aoun alisema katika hotuba ya…

Tanzania yatangaza miradi ya kimkakati maonyesho Dubai
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dotto James amesema Tanzania inatangaza miradi mikubwa ya kimkakati katika maonyesho ya kimataifa yanayofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu (UAE). James ameyasema hayo leo Jumanne Oktoba 26 jijini Dar es Salaam wakati akitoa mrejesho wa ziara yake huko Dubai ambako alikwenda kuangalia ushiriki wa Tanzania…

Shirika la Umoja wa Mataifa linaunga mkono mipango ya Iran kuhifadhi wakimbizi nchini humo
Faraan: UNHCR, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, limesema kuwa linakaribisha mchango wa Uingereza wa GBP milioni 2 (sawa na kiwango cha Dola milioni 2.7) ili kulinda na kuwasaidia Waafghanistan wanaokimbilia Iran kwa ajili ya kutafuta usalama. Mchango wa Uingereza utaenda katika ununuzi wa vitu vya msingi kama vile vyakula, mahema, blanketi na…

Hivi ndivyo Wayemeni walivyomuaga balozi wa kibinadamu, Bw Hassan Irloo
Wanamitandao kutoka nchini Yemen waliomboleza kifo cha balozi wa Iran nchini Yemen kutokana na hali yake kudhoofika baada ya kupata virusi vya Corona., wakimwita “balozi wa amani” na “balozi wa kibinadamu,” walisisitiza kuwa yeye ndiye balozi pekee aliyevunja uhusiano mbaya uliopo dhidi ya Yemen. Naye Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bw….