Wanamitandao kutoka nchini Yemen waliomboleza kifo cha balozi wa Iran nchini Yemen kutokana na hali yake kudhoofika baada ya kupata virusi vya Corona., wakimwita “balozi wa amani” na “balozi wa kibinadamu,” walisisitiza kuwa yeye ndiye balozi pekee aliyevunja uhusiano mbaya uliopo dhidi ya Yemen.
Naye Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bw. Khatib Zadeh, alitangaza kuuawawa kishahidi kwa Balozi Hassan Irloo baada ya kuambukizwa Corona katika makao yake makuu, akieleza kuwa: Kutokana na ushirikiano dhaifu kutka kwa baadhi ya nchi, Irloo kwa bahati mbaya alirejea nchini katika mazingira yasiyoridhisha na licha ya kuwepo kwa matumizi makubwa na ufuatiliaji wa hatua zote za matibabu ili kuboresha hali yake, alifariki asubuhi ya leo.
Mtindo wa Hashtag inayokwenda kwa maandishi #Martyrdom_Bassador_of_Peace iliorodheshwa ya kwanza kati ya mitindo ya Yemen na watumizi wa mtandao wa tweeter .Wananchi wa Yemen walitoa shukrani zao kwa jukumu la kibinadamu na kidiplomasia alilolitekeleza marehemu Balozi Irloo na kwa kufichua dhuluma ya Yemen na watu waliozingirwa na kuwanyima watu wa Yemeni mahitaji muhimu zaidi ya kimaisha, ikiwemo vyakula na dawa.
Msemaji wa harakati ya Ansarullah na mkuu wa ujumbe wa mazungumzo wa Yemen, Muhammad Abdu Salam, alitoa salamu za rambirambi kwa uongozi na watu wa Iran, na familia ya shahidi Erlo, katika ukurasa wa Twitter: “Pole zetu za dhati kwa uongozi wa Iran na wananchi wapendwa wa Iran, na kwa familia ya marehemu balozi wa Iran nchini Yemen/ Hassan Erlo, Mwenyezi Mungu amjaalie rehma kubwa, na sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.”
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesema: Tunatuma salamu za rambirambi kwa wananchi, uongozi na wananchi wa Iran kufuatia kifo cha balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini kwetu na tumesikitishwa sana na kifo chake. Ameongeza kuwa, Balozi wa Iran, Hassan Irloo, alikuwa na alama za vidole katika kuingiliana na malalamiko yetu na kuwasilisha sauti na malalamiko yetu, na tunamshukuru kwa huduma zake alizozitoa kidiplomasia kwa Yemen.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen Hussein Al-Ezzi kwa upande wake ametoa salamu za rambirambi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia kuuawa shahidi balozi wa Yemen Hassan Erlo.Al-Ezzi alisema katika ukurasa wake wa Twitter: “Natoa rambirambi zangu kwa uongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na kifo cha Mheshimiwa Balozi Hassan Irloo, pamoja na familia yake ambao watahesabika miongoni mwa mujahideen.” Tumempoteza rafiki wa asiye na mithili ambaye alikuwa mfano kwa wanadiplomasia aliyefanikiwa na vilevile mashuhuri, akiomba rehema kutoka kwa Mwenyezi Mungu zimfikie mwendazake na kuzitaka radhi kutoka kwa familia yake na uongozi wake na kuwaomba wawe wavumilivu na kuwatikia faraja.Balozi wa Iran nchini Yemen #Hassan_Irloo yuko chini ya ulinzi wa Mungu Alikataa bali zaidi aliishi kwa heshima akiwatetea Wayemen kutokana na mateso na akasimama upande wao katika hali ngumu, Mungu awarehemu Mujahideen. Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.Soha alitweet:
Fikisha amani na matamanio yetu kwa Qasim wetu mpendwa
#Hassan_Irloo