IRAN: Baraza la Mawaziri latangaza maombolezo ya umma kote nchini baada ya tukio la kuporomoka kwa jengo kuu la Abadan

IRAN: Baraza la Mawaziri lilitangaza; Kulingana na ripoti ya Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusiana na tukio lenye kusikitisha la kuporomoka kwa jengo lililopo mjini Abadan huku tukitoa salamu za rambirambi kwa familia za wafiwa kwa heshima ya wahanga wa tukio hili  tunatoa pole kwa familia na wananchi wa jimbo la Khuzestan hususan mji wa Abadan na kutangaza ya kwamba kesho Jumapili itakua siku ya maombolezo ya umma kote nchini.

Previous Post
Next Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *