Mwisho wa Israeli na wadhalimu umekaribia kupitia Ababeel ya Hamas: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
(Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)
Imetolewa : Masjid Baitul ul Ateeq
Lahore – Pakistan

Hotuba ya Ijumaa – 17 May, 2024

Hotuba ya 1: Tafsiri potofu ya Waseela imewaweka watu mbali na Mwenyezi Mungu
Hotuba ya 2: Mwisho wa Israeli na wadhalimu umekaribia kupitia Ababeel ya Hamas
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَابْتَغُوا إِلَيْهِ الْوَسِيلَةَ وَجَاهِدُوا فِي سَبِيلِهِ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ {35}
Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na tafuteni njia ya kumfikilia. Na wanieni kwa juhudi kwa ajili yake ili mpate kuokoka.

Kuna amri tatu katika aya hii, anwani moja na tokeo moja. Wanaohutubiwa ni jamii ya waumini ambayo inamaanisha kwamba pindi inapokuwepo jamii ya waumini wa namna hii basi wanakuwa ni marejeo ya Aya hii. Vipengele vyote hivi vitatu ni vya msingi katika Aya hii ni misingi mitatu ya jamii ya mwanadamu na kuna misingi mingine katika Aya nyingine nyingi. Katika muundo wa jamii kipengele cha kwanza ni Taqwa, kitu cha pili ni Ibtigha na ukaribu na tatu ni Jihadi na matokeo ya haya yote ni kufanikiwa na ustawi ( Falaah).

Taqwa maana yake hapa ni kwamba mnapokuwa mmeanzisha jamii ya mwanadamu basi mnatakiwa kuilinda pia. Kwa kadri gharama ya mji inavyozidi kuwa kubwa ndivyo mnatakiwa kulinda zaidi. Na utu wa mwanadamu upo hivi pia, kama utu wa mtu utakuwa wa chini basi pia mfumo wa ulinzi wake utakuwa wa kiwango kilicho na mipaka lakini pia yule ambaye utu wake ameujenga na kuuimarisha kwa Taqwa atahitaji ulinzi wa ukubwa alionao. Hivyo hivyo mfumo wa ulinzi wa maisha ya jamii utahusishwa na kwendana na namna maisha ya jamii yalivyo.

Inadhaniwa katika Aya hii kwamba wanaohutubiwa ni waumini kwa sababu Imani inabidi ipewe majaribu na kuthibitishwa. Baada ya Taqwa jamii hii inatakiwa kutafuta njia ya kupata ukaribu kwa Allah. Hapa kuna maendeleo ya wasiwasi katika kuzitafsiri Aya kiasi kwamba zimebadilisha mwelekeo wa dini kwa kiasi kikubwa sana. Kiini cha dini ni Allah lakini kuna nyakati ambazo dini hutafsiriwa kwa namna ambayo hubadilisha mwelekeo wa dini kutoka kwa Allah na kuwa mwelekeo kwa wanadamu. Kama kwa nabii Isa, waumini badala ya kumwelekea Allah walibadilika na kumzingatia yeye kuwa Mungu. Mifano hii imetokea sana katika historia ambapo kutokana na ujinga watu huwakubali watu kuwa miungu wao hata kama wao wenyewe hawajatangaza hili. Allah anasema wazi ndani ya Qur’an ya kwamba hakuna waja waliopewa uongofu, kitabu kisha kuwa na haki ya kuwalingania watu kuwa watumwa wao na kusema niabudu mimi lakini badala yake anatakiwa kuwalingania watu kumuelekea Mola Muumba. Huu ndio ukweli uliopo wa kudumu wa dini. Kama Nabi Ibrahim Allah alimuamuru kuwa hatua ya kwanza ni kubadilisha mwelekeo kumuelekea Allah na kuwa na mbali na vitu vyote tofauti na Allah. Amri hii ni nya kila mmoja kwa ajili ya kutunza nyuso zao, mwelekeo na njia ya kuelekea kwa Allah moja kwa moja. Watakatifu wa Allah walikuja kwa lengo la kuelekeza watu kumwelekea Allah na sio kuwaelekea wao wenyewe. Allah atamuuliza Nabii Isakwa uwazi kwamba je wewe uliwaambia watu wakuabudu, nabii Isa atajibu kuwa sikuwataka waniabudu wanafanya haya kutokana na ujinga na upumbavu wao. Niliwataka wakuelekee wewe na hakuna Mtume au Imam walio walingania watu kuwaelekea wao wenyewe.

Tunaona mifano ambapo watu hubadilisha mwelekeo wa kumwelekea Allah na kumuelekea mtu Fulani na katika suala hili hutumika Aya hii ikiwa ni ya mwanzo ambapo ni kutafsiri kimakosa ambako kumepelekea kuwa na matokeo haya. Kutafsiri Aya hii kimakosa kwa Aya hii ni kwamba huwezi kwenda kwa Allah moja kwa moja pasina kupitia Nyenzo na nyasila. Inaonekana kama vile Allah amefunga milango ya riziki, baraka, utoaji, huruma na msamaha moja kwa moja kwa kila mtu isipokuwa kwa wale wenye kumwendea kwa kupitia Nyenzo au nyasila ndio watapata haya yote yaliyoashiriwa hapo juu. Na hii ni kwa sababu tunatafsiri neno Waseela kama njia hali yakuwa Waseela kwa Kiarabu haina maana hii. Katika lugha ya Kiarabu neno hili hutumika sana lakini katika Qur’an neno hili limetumiwa mara mbili tu. Inatakiwa kila mara tuishauri Qur’an ambapo kizazi chetu cha sasa mara nyingi hakifanyi hivi. Nawaambia vijana kwamba mabomu yapo yanaendelea kupigwa huko Gaza lakini kuna kupigwa mabomu mengi ya rushwa na tamaduni zinaendelea usiku na mchana. Na kizazi hiki kinanunua kwa gharama kubwa kwa tamaduni iliyoporwa. Kutegemea kizazi hiki kurudi katika njia na mwelekeo wa Mola kupo lakini kwa kiwango cha chini lakini hatutakiwi kudharau kwani uenda kukawa kuna watu ambao wanaweza kurudi kwa Mola wao. Hatuna Raghba kuielekea Qur’an.

Ikiwa una Raghba na Qur’an basi pointi muhimu ni kwamba Qur’an ni ya kila mtu na hakuna Aya inayosema kwamba hii ni ya wasomi tu. Ili kuelewa istilahi za Qur’an inabidi turudi kwenye kuifahamu lugha ya Kiarabu na sio kwenye elimu nyingine. Elimu za sayansi zinaweza kusaidia lakini zinatengeneza utambulisho wake mwingine wa istilahi. Jambo la pili la kuwa makini nalo katika kutafsiri Qur’an ni umadhehebu. Madhehebu nayo yametengeneza maelezo yake juu ya istilahi. Tunachukua elimu kutoka kwenye madhehebu kwanza kisha tunasoma na wakati huo tunaielekea hali ya kuwa tunakuwa tumeshajazwa mambo mengi kwenye akili zetu na hivyo kupelekea kuitafsiri Qur’an kwa mujibu wa kilicho kwenye akili zetu. Sayansi na madhehebu huja baada ya Qur’an kwa sababu Qur’an hakuchukua chochote kutoka kwenye mambo haya. Allah alichagua maneno ya Kiarabu ambacho kilikuwa kikizungumzwa hapo kabla. Hivyo hatuwezi kutoa rejea kwenye madhehebu na semi za wasomi wa madhehebu katika kuitafsiri Qur’an. Sayansi husaidia kuziweka makini akili zetu na kutupa nyenzo lakini sio vyanzo vya kuielewa Qur’an.

Waseela ni neno ambalo limetafsiriwa sana na madhehebu na maelfu ya vitabu vimeandikwa kuhusu neno hili ambapo Qur’an imelitumia kwenye Aya mbili tu. Hivyo tunatakiwa kurejea lugha ya Kiarabu ili kuweza kuelewa neno hili. Waseela kwenye lugha ya Kiarabu ina maana ya kuwa karibu na mtu kwa msingi wa Raghba ( hamu kubwa). Wakati mwingi tunakuwa karibu na watu kwa sababu fulani au maslahi lakini sio kwa Raghba. Kama mtoto huenda kwa mama yake kutokana na Raghba na sio kwa ajili ya mahitaji. Raghba ni yenye nguvu hamu kubwa, maelekezo kuelekea kitu ambacho kwacho nia zimeendelea na kukuzwa kwa msukumo yapo pia kwa ajili ya kutia nguvu nia na juhudi zinazofanywa. Elimu bila ya kuwa na utashi haimfanyi mtu kuinuka kiutu bali huweza kuwa ni kwa ajili ya kufaulu mitihani tu. Lakini wakati huo tunaona wanafunzi mmoja au wawili au zaidi ambao wanasimama katika kuitafuta elimu kutokana na utashi na Raghba yao. Kama shahidi Mutahhari alikuwa ni shakhsia na mfano wa kuigwa kwa wanafunzi. Katika hali ile ni Mutahhari pekee yake aliyetokea kitu ambacho kinamaanisha hakutengenezwa na elimu za kimazoea kwa sababu kulikuwa na maelfu ya wanafunzi, mtaala mmoja, wanafunzi na vitabu alivyokuwa navyo Mutahhari na wengine walikuwa navyo pia. Tofauti ilikuwa kwenye Raghba. Raghba hutia elimu ndani ya moyo wa mtu. Ikiwa utafanya kitu chochote kama sala ya rakaa mbili ukiwa na raghba, au sikiliza hotuba ukiwa na Raghba kisha utaona tofauti. Aya hii inatutaka tufanye Waseela kwa Allah ina maana ya kupata ukuruba wa Allah tukiwa na Raghba.

Katika Surah Isra Aya ya 56 na 57 linatajwa neno Waseela.

قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُمْ مِنْ دُونِهِ فَلَا يَمْلِكُونَ كَشْفَ الضُّرِّ عَنْكُمْ وَلَا تَحْوِيلًا {56}
Sema: Waombeni wale mnao wadaia badala yake yeye . Hawawezi kukuondoleeni madhara, wala kuyaweka pengine
أُولَٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ ۚ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا {57}
Hao wanao waomba, wao wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi- hata miongoni mwao waliokuwa karibu mna- na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake . Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo.

Aya inasema kwamba waite wale ambao mnawaomba badala ya Allah, hawawezi kukuondolea msongo wako. Wao wenyewe wako wanatafuta njia ya kumwelekea Mola wao Mlezi. Hao ndio ambao wanatamani kuwa na ukuruba zaidi na Mola Mlezi. Wanataraji rehema na huruma ya Allah na wanaogopa hasira yake. Hao ambao mnawaomba na wao pia wanatafuta ukuruba na Allah. Shakhsia za namna hii ambazo watu wamezifanya kuwa Miungu yao: Allah anasema wao wenyewe wanatafuta kuruba wa Allah. Nyinyi ni wahanga wa kupotoshwa katika hili. Allah mnamuita na kumuabudu Mtume Isa hali ya kuwa yeye mwenye yupo anamuomba Mola wake huruma na kutafuta ukuruba na Allah.

Sasahivi hatuoni anayemtafuta unatakiwa kutafuta wanacho kitafuta lakini badala yake mnawatafuta wao. Katika Aya hii kwa mpangilio wa Taqwa na Waseela. Kisha kunakuja hamu kubwa ya kutaka ukuruba kwa Allah, mpangilio wa tatu ni Jihadi ambao ina maana ya kufanya juhudi na kisha baada ya mambo hayo matatu ndio yatakufanya upate mafanikio. Hii ndio siri ambayo Allah katuwasilishia lakini tafsiri zetu ni kama vile Aya hii ambayo inatuonyesha njia ya kupata ukuruba kwa Allah imekuwa ndio msingi wa kutuweka mbali na Allah. Tumeambiwa kutafuta Waseela ambao unamaanisha kwamba tuwapate watu hapa katikati ambao watatupeleka kwa Allah na kuanzia hapa ndipo mambo yote yalianzia hapa katika dini kama mnavyoweza kuona leo hii.
Hotuba ya 2

Udhalili wa leo hasa kwa Waislamu ni kwa sababu ya kuishi maisha bila ya Taqwa na wanahangaika kwa sababu hii. . dini bila ya kuwa na Taqwa maana yake ni umadhehebu na ujinga. Kufanya ibada bila ujuzi ni sawa na uchovu na elimu imekuwa ni chanzo cha uharibifu. Siasa na serikali vimekuwa ni dhuluma. Tunaweza kuona katika nchi yetu ni namna gani kuna matabaka na namna yanavyoishi maisha yao bila ya Taqwa na maisha ni kana kwamba muumini akiwa na Taqwa basi huwa mbali nao. Na kiwango cha kimataifa tunaweza kuona maisha bila ya Taqwa na tunaweza kuifanya Palestina kuwa marejeo.

Jana kuna mkutano uliofanywa na mataifa ya Kiarabu ambapo ndani yake wameitaka Israel kutoishambulia Rafah ambako tayari wameshaanza na Israel inafikiri kwamba watatangazwa kuwa washindi na wao tayari wamefeli katika Malengo. Wanafanya hivi ikiwa ni tumaini la mwisho la mafanikio. Wamagharibi Na Waarabu wote wameiomba Israel isiendelee kufanya mashambulizi haya. Ombi na takwa la pili walilolitaka ilikuwa ni kwa umoja wa mataifa wakiiomba kulazimishwa Israel kusimamisha vita. Gaza imefichua na imedahalilisha watawala, viongozi. Ebu fikiri Israel inaishambulia Rafah baada ya kiuangamiza Gaza na miji mingine, wamewaua kishahidi Wapalestina na wale waliosalia wamekimbilia Rafah lakini bado hawajapata mateka wao kuachiwa huru hawakuweza kuvunja vunja au kuimaliza Israel. Wapiganaji wa Hamas bado wanaendelea kutokea chini ya ardhi na kuishambulia Israel. Waisraeli waliwasilishwa kama waliodhulumiwa na mauaji ya kimbali huko Ujerumani. Imethibitishwa kwamba holocaust ( mauaji ya kimbali ) ilikuwa ni uongo na kama Ujerumani iliwadhulumu wangetakiwa kuwa wameishi huko Ujerumani na sio Palestina haya yote yalifanyika kwa kupangwa. Walikuwa ni wanyama ambao walikuwa wanajificha na sasahivi ulimwengu mzima umeona nyuso zao chafu na kila mtu anawachukia ulimwengu mzima ambapo ni fedheha kubwa kwa Israel. Udhalilishaji mwingine kwa Israel ni kwamba Hamas ni kikundi kidogo cha wapiganaji na sio jeshi kubwa. Wanapigania haki zao na waliishambulia Israel na kuchukuwa mateka zaidi ya 200. Kwa ajili ya kuwaachia hawa mateka Israel imeshambulia kikatili na bado haikuweza kuwakomboa mateka hao. Udhalili wa tatu ni kwamba Israel ndio ilianza vita hii ili kuwamaliza Hamas na kwamba hawakuwa na mpango wowote na makundi mengine ya Wapalestina ambao wote ni wasaliti. Hamas ina vyanzo na sababu za mapinduzi na kiongozi wa juu. Na hadi sasa hawakuweza kuimaliza Hamas, hadi sasa wanaamini Hamas bado anamiliki nguvu ile ile aliyokuwa nayo tarehe 7 /10/2023. Haya ni matusi makubwa kwa Israel. Sasahivi wanafikiri kwamba Hamas wanajificha Rafah kwa hiyo ikiwa tutaishambulia Rafah tutaweza kuwamaliza Hamas. Wameanza kushambulia Rafah na hawakuacha licha ya kuwa washirika wao kuwaomba wasiipige Rafah. Usaliti mkubwa zaidi unatoka kwa viongozi wa Kiarabu. Wanadai amani ya kulazimishwa na umoja wa Mataifa. Saudi ana mchango mkubwa katika vita inayoendelea Gaza. Wanatengeneza mambo mengine bandia ili kutoa akili za watu huko Gaza. Ibun Salman aliita kikao kwa ajili Islamphobia kisha Imam wa Makka al- Kaaba akasema katika Hotuba yake kuwa vita ya Gaza ni fitina na watu hawatakiwi kushiriki ndani yake na walilaaniwa na wasomi wakubwa wa Pakistan. Sasahivi kitu ambacho Israel hawakuweza kukifanya na kukifanikisha wanataka kukifanya kupitia shinikizo la amani la umoja wa mataifa. Nchi 45 wamemsaidia Israel lakini hawakuweza kuimaliza Hamas na upambanaji. Israel wanajua kwamba wakisimamisha vita wataharibiwa milele. Kwa upande mwingine ni kwamba Israel wamekwisha tumia nguvu zote, na nyenzo kutoka kwenye nchi hizi 45 na bado hawakuweza kufaulu hata Malengo ya Daraja la pili. Kuua akina mama, Watoto na kuharibu miji sio ushindi wa vita bali ni uhalifu na jinai za kivita. Sasahivi Ibun Salman anataka kufanikisha lengo hilo hilo la Israel kwa kupitia shinikizo la amani ambalo litatokana na Amerika, Ulaya na nchi hizi za Kiarabu. Watapigana na Hamas kama wakala wa Israel. Kwa namna ambavyo majeshi haya yalifanya Yemen lakini hayakufanikiwa chochote. Allah anasema tunawapa muda madhalimu ili waweze kufichuliwa wote. Allah hajaizuia Israel hadi sasa kwa sababu Allah anakusudia kuwadhalilisha wote kama Amerika, nchi za Ulaya, watawala wa Kiarabu na Erdogan wanataka kuwazika Gaza. Hali ya sasa inaonesha kwamba wapo kwenye hatihati ya kutoweka. Lau kama Iran na Hizbullah wangekuwa wameishambulia Israel na kuiharibu Israel hii ingekuwa ni kushindwa kwa Israel lakini wasingepata fedheha kama wanayoipata kutoka kwa Hamas. Pindi Abraha alipoishambulia Ka’abah Allah alituma jeshi la Ababeel. kama Iran ingekuwa imeishinda Israel kwani ingewezekana kutuma Tembo ndio wawashinde Tembo lakini Allah alitaka kuwadhalilisha na kuwafedhehesha Israel na madhalimu hawa kupitia Ababeel. Mwisho wa madhalimu hawa upo karibu sasa na tunamuomba Allah awape nguvu wapambanaji.

Previous Post
Next Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *