Rais wa Mauritania atembelea maonesho ya Qur’ani Tukufu mjini Nouakchott

Rais wa Mauritania Mohamed Ould Ghazouani ametembelea maonyesho ya Qur’ani Tukufu katika mji mkuu wa nchi hiyo Nouakchott.

Hafla hiyo ya Qur’ani kwa wanaume na wanawake itaendeshwa katika maeneo tofauti huko Dubai kwa siku tano.

Kwa mujibu wa Ibrahim Mohamed Bu Melha, mshauri wa Mtawala wa Dubai kwa Masuala ya Utamaduni na Kibinadamu na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai (DIHQA), jopo mbili za majaji wa wanaume na wanawake zimeundwa kutathmini washiriki wa mashindano hayo.

Amesema mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum ni miongoni mwa matukio makuu ya Qur’ani yanayoandaliwa na DIHQA kila mwaka.

Aliongeza kuwa mashindano hayo yanalenga kuwahimiza raia wa UAE na wataalam kutoka nje kujifunza, kuhifadhi na kusoma Qur’ani na kufanyia kazi mafundisho yake.

Washiriki wa shindano hilo wanatakiwa kuwa na ujuzi mkubwa wa sheria za Tajweed.

Kategoria za mashindano hayo ni pamoja na kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu, kuhifadhi Juzuu 20 (, kuhifadhi Juzuu 10, kuhifadhi Juzuu tano (kwa raia wa Imarati), kuhifadhi Juzuu tano (kwa wakaazi zaidi ya miaka 10, na  kuhifadhi Juzuu 100 kwa raia walio na umri wa zaidi ya miaka 10.

Previous Post
Next Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *