Muktasari:
Kampuni ya chanjo za Uviko-19 ya BioNtech inatarajia kuanza kutengeza chanjo kwenye kiwanda chake cha mRNA kilichopo nchini Rwanda ifikapo mwaka 2025.