Kwa mujibu wa ripoti ya vyombo vya habari, Saudi Arabia iliwanyonga watu 81 katika siku moja kwa uhalifu unaohusiana na “ugaidi”,
Wakati huo huo, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imethibitisha mkasa huo wa hukumu za kifo za watu 81 na kutangaza kuwa imetekeleza hukumu hiyo kwa watu hao.
Shirika la habari la AFP pia limeripoti kuwa Saudi Arabia iliwanyonga watu 81 kwa siku moja kwa makosa ya ugaidi. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imesema leo (Jumamosi) katika taarifa yake iliyochapishwa katika shirika rasmi la habari la nchi hii (WAS) kwamba watu hao Walihukumiwa kifo huku wakituhumiwa kwa utekelezaji wa “mfululizo wa vitendo vya kihalifu”, miongoni mwao utekaji nyara, utesaji na ulanguzi wa silaha n.k.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia inadai kuwa, watu hao waliopotea ni wafuasi wa shetani na wenye fikra potofu kama vile kutegemea ulimwengu wa nje na kuisaliti nchi na kwamba walifanya vitendo vya kigaidi.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, majina saba ya raia wa Yemen na mmoja akiwa raia wa nchi ya Syria ni miongoni mwa walionyongwa, ambao wamenyongwa leo pamoja na raia wengine wa Saudi Arabia.
Mtandao wa Al-Naba ulirekodi jinai zilizofanyia na utawala wa Saudi Arabia, umewataja watu 40 kati ya walionyongwa, ya kwamba ni wakaazi wa al-Qatif, na kuwataja kama ifuatavyo:
1- Musa Jaafar al-Mubayq
2- Abdullah Naji Al Ammar
3- Hassan Ali Al-Sheikh
4- Aqeel Hassan Al-Faraj
5- Abdullah Javad Al-Nasif
6- Murtaza Muhammad Al Musa
7- Yusuf Abdul Azim Al Tarif
8- Mahmoud Isa Al-Qalaf
9- Haitham Ibrahim Al-Mukhtar
10- Mohsen Ibrahim Al-Masbah
11- حسن محمد الفرج
12- Ali Atef Al Leif
13- Hussein Ali Al Khalif
14- Jafar Muhammad Al-Faraj
15- Hussein Mansour Al-Abd Al-Nabi
16- Majid Alawi Al-Qalaf
17- Mohammad Saud Al-Johar
18- Jamal Hassan Al-Banawi
19- Hassan Salman Al Rezvan
20- Hussein Ahmad Al-Awjami
21- Mustafa Ali Khayyat
22- Ali Abbas Al-Awami
23- Ahmad Abdul Wahed Al-Suwaikat
24- Mohammad Abbas Al-Afi
25- Aqeel Hassan Al-Abd Al-Aal
26- Muhammad Abdullah Al-Sama’il
27- Ahmad Zaki Al-Abdul Nabi
28- Hassan Mohammad Al Tahifa
29- Jafar Ahmad Abu Hassan
30- Zaid Ali Al-Tahifa
31- Muhammad Abdullah Al Hazim
32- Mehdi Saleh Al-Zannadi
33- Ali Mohammad Al-Afirit
34- Mohammad Alavi Shakhouri
35- Amjad Mohammad Al-Awami
36- Asad Maki Al Shabar Ali
37- Shahidi Hussein Mansour Al-Jashi
38- Abdullah Muhammad Al-Bandar
39- Hassan Hashem Al-Qalaf
40- Abdullah Muhammad Al-Zaher
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasisitiza kuwa kesi hizo zisizo za haki zinafanyika nchini Saudi Arabia katika wakati ambapo idara ya mahakama hiyo haimiliki hata viwango vya chini kabisa vya haki za kibinadamu.