#afghanistan

Russia: Kuna ushahidi kwamba Marekani inawafadhili kwa siri magaidi wa Daesh nchini Afghanistan

Russia: Kuna ushahidi kwamba Marekani inawafadhili kwa siri magaidi wa Daesh nchini Afghanistan

Mwanadiplomasia mwandamizi wa Russia na mjumbe wa rais Vladimir Putin nchini Afghanistan anasema kuna ushahidi kuwa Marekani inajaribu kufadhili kwa siri kundi la kigaidi la Daesh nchini humo ili kudhoofisha utawala wa sasa wa kisiasa wa Taliban. Zamir Kabulov alisema siku ya Ijumaa kuwa Washington inataka kulipiza kisasi kwa kushindwa kwake kwa njia ya fedheha…

WHO: Vituo 97 vya huduma za afya na tiba vimesita kufanya kazi nchini Afghanistan

WHO: Vituo 97 vya huduma za afya na tiba vimesita kufanya kazi nchini Afghanistan

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema katika ripoti yake mpya kuwa vituo 97 vya afya na tiba vimesitisha sehemu ya shughuli zao au vimeacha kikamilifu kutoa huduma nchini Afghanistan. Kwa sasa Afghanistan inakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu, kiafya, kiuchumi na ya uhaba mkubwa wa chakula uliosababishwa na kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo kwa miaka…

Maonyo ya kimataifa kuhusu ukame mkali nchini Afghanistan

Maonyo ya kimataifa kuhusu ukame mkali nchini Afghanistan

Maonyo makali ya kimataifa yametolewa kuhusu ukame mkali unaotokana na kushadidi baridi na kuongezeka mgogoro wa kiuchumi nchini Afghanistan. Jamii ya kimataifa inasisitiza kuwa, iwapo hali ya hivi sasa itaendelea, basi wananchi milioni 6 wa Afghanistan watakumbwa na ukame wa kuchupa mipaka. Jan Egeland, Mkuu wa Baraza la Wakimbizi la Norway ambaye hhivi karibuni alitembelea…

Mashirika ya kimataifa yaomba kupatiwa bajeti ili kupambana na utapiamlo kwa watoto

Mashirika ya kimataifa yaomba kupatiwa bajeti ili kupambana na utapiamlo kwa watoto

Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa yametoa taarifa ya pamoja yakiomba kupatiwa hara bajeti ili kuwasaidia watoto milioni 40 wanaosumbuliwa na utapiamlo mkali. Shirika la Kimataifa la  Save the Children hivi karibuni lilitangaza kuwa: Afghanistan, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Haiti, Somalia, Sudan Kusini na Yemen ni nchi ambazo zina…

Ayatullah Sistani ahimiza uungwaji mkono kwa Afghanistan

Ayatullah Sistani ahimiza uungwaji mkono kwa Afghanistan

Kiongozi mkuu wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq Ayatullah Seyed Ali al-Sistani amehimiza jumuiya ya kimataifa na Waislamu kote ulimwenguni kuunga mkono watu “wanaoteseka” nchini Afghanistan. Aliyasema hayo katika mkutano wa Jumanne katika ofisi yake yenye makao yake makuu mjini Najaf akiwa na ujumbe i wa Baraza la Ulamaa wa Kishia la Afghanistan. Akirejelea uhalifu…

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) yasisitiza wasichana kupatiwa elimu Afghanistan

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) yasisitiza wasichana kupatiwa elimu Afghanistan

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ametoa wito wa kufanyika kampeni ya kuandaa mazingira ya kupatiwa elimu wasichana wa Afghanistan. Wiki iliyopita, serikali ya Taliban ilitoa taarifa ya kupiga marufuku wasichana kuendelea na masomo katika vyuo vikuu vya nchi hiyo. Hatua hiyo imekabiliwa na malalamiko mengi ndani na nje ya Afghanistan. Kabla ya hapo…

‘Lengo la Marekani la kuivamia Afghanistan lilikuwa ni kuzidhibiti nchi jirani’

‘Lengo la Marekani la kuivamia Afghanistan lilikuwa ni kuzidhibiti nchi jirani’

Balozi wa Iran mjini Kabul Afghanistan amesema kuwa, lengo kuu la Marekani la kuivamia na kuikalia kwa mabavu Afghanistan halikuwa kupambana na ugaidi bali lilikuwa ni kuzidhibiti nchi zinazopakana na Afghanistan. Shirika la habari la IRIB limemnukuu Hasan Kazeni Qomi akisema hayo katika mahojiano na televisheni ya al Alam na kuongeza kuwa, Wamarekani waliivamia na kuikalia…

Baraza la Usalama la UN litoa wito wa kushirikishwa kikamilifu wanawake nchini Afghanistan

Baraza la Usalama la UN litoa wito wa kushirikishwa kikamilifu wanawake nchini Afghanistan

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake juu ya uamuzi wa Taliban wa kuwazuia wanawake kuhudhuria masomo katika vyuo vikuu na kutoa wito wa ushirikishwa kamili na kwa dhati wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Ni baada ya Serikali ya Taliban kusitisha elimu ya chuo kikuu kwa wanafunzi wote wa kike nchini Afghanistan, hatua ambayo…