Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20
Japan imetangaza kuwa inaunga mkono pendekezo la kupewa uanachama Umoja wa Afrika (AU) katika kundi la G20. Hayo yalisemwa jana Jumatatu na Fumio Kishida, Waziri Mkuu wa Japan na kueleza kuwa, nchi hiyo itaunga mkono wazo la AU kupewa uanachama katika jumuiya hiyo kubwa zaidi ya kiuchumi duniani. Viongozi wa Afrika wamekuwa wakilalamikia kutengwa na…
Rais wa FIFA apongeza timu za Afrika katika Kombe la Dunia
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Gianni Infantino amepongeza matokeo ya timu za Afrika katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar baada ya timu ya Morocco kuweka historia na kufuzu kwa nusu fainali ya michuano hiyo ikiwa timu ya kwanza ya taifa kutokea katika bara la Afrika kuwahi kuvuka…
Afrika Kusini yapinga Israel kujiunga na Umoja wa Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa wa Afrika Kusini amesema kujiunga utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Afrika ni sawa na tusi kwa moyo wa hati ya umoja huo. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la IRNA siku ya Jumamosi, Naledi Pandor, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini alisema, “Tunashuhudia…
Waafrika hawana imani tena na Marekani, Washington yahaha kushawishi viongozi wa Afrika
Sambamba na juhudi za Marekani za kuwa na ushawishi mkubwa zaidi katika nchi za Kiafrika, nchi hizo zinazidi kupoteza imani kwa viongozi wa White House siku baada ya siku. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wakati Marekani ikifanya mkutano na wakuu wa nchi za Afrika ili kukabiliana na ushawishi wa China na Russia bara humo, inaonekana kuwa…
Rais Samia: Wanawake milioni 44 wamepoteza ajira Afrika
Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020. Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wakati akifungua kongamano…
Guterres: Dunia inaitegemea Afrika kutatua shida zake lakini haiisaidii Afrika kukabili changamoto zake
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema suala la kusikitisha ni kuwa, licha ya kwamba dunia inaitegemea Afrika kutatua shida zake, lakini bado bara la Afrika halijaweza kuweka tegemeo lake kwa dunia katika kukabili changamoto zinazolikabili. Guterres amesema hayo katika mkutano na waandishi wa habari, ambao umehudhuriwa pia na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja…
Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7
Miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika imepindukia dola milioni 990 za Marekani katika kipindi cha miezi saba iliyopita. Hayo yameripotiwa na gazeti la Financial Tribune ambalo limeeleza kuwa, mabadilishano hayo ya biashara baina ya Iran na Afrika baina ya March 21 na Oktoba 22 ni tani milioni 1.89 zenye thamani ya dola 992.77….
Mdororo wa kiuchumi duniani wazua hofu katika ukanda wa Afrika Mashariki
Wananchi wa Afrika Mashariki wana wasi wasi mkubwa kutokana na makadirio ya kushuka kwa uchumi duniani mwaka 2023 baada ya Shirika la Fedha Duniani kutangaza kuwa karibu theluthi moja ya dunia itadorora kiuchumi, ikiongozwa na mataifa yenye uchumi mkubwa zaidi duniani ikiwa ni pamoja na Marekani, China na Ulaya. Makadirio ya hivi majuzi yanaweka matarajio…