#ajali

Ajali ilivyopoteza mke, watoto wawili

Ajali ilivyopoteza mke, watoto wawili

Dodoma. “Binadamu ni wasafiri, lakini njia za kusafiria zinatofautiana, hata hivyo nimeamua kusahau na kusamehe.” Hiyo ni kauli ya Meshack Samson, aliyepoteza watu watatu katika ajali ya gari iliyohusisha mkokoteni wa kuvutwa na ng’ombe. Ilikuwa ni umbali wa karibu kilomita 70 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma hadi Kijiji cha Manzase wilayani Chamwino, katika barabara ya…

Ajali yaua watano Mbeya

Ajali yaua watano Mbeya

Mbeya. Watu watano wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya lori la mizigo lililobeba shehena ya mahindi kufeli breki na kugonga badi dogo la abiria aina ya Coaster liliyokuwa likitoka Mbeya mjini kwenda Wilaya ya Mbarali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo Jumanne Julai 5, 2022 kwenye…

Watano wafa ajalini, 17 wajeruhiwa Tabora

Watano wafa ajalini, 17 wajeruhiwa Tabora

Tabora. Watu watano wamefariki dunia na wengine 17 kujeruhiwa katika ajali ya basi iliyotokea jana Ijumaa jioni Julai Mosi, 2022 katika kijiji cha Mabangwe wilayani Sikonge mkoani Tabora. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema basi hilo la Sasebosa lilikuwa linatoka mkoani Mbeya kwenda Tabora. Kamanda Abwao amesema majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika…

Ajali za barabarani zinaua watu milioni 1.3 duniani kila mwaka

Ajali za barabarani zinaua watu milioni 1.3 duniani kila mwaka

Takwimu za Shirika la Afya Duniani zinaonyesha kuwa duniani kote ajali za barabarani zinachukua maisha ya watu takriban milioni 1.3 kila mwaka ambao ni sawa na zaidi ya watu wawili kila dakika huku wengine milioni 50 wakijeruhiwa. Pia takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 90% ya vifo hivyo au vifo 9 kati ya 10 vinatokea…

Mmoja afa ajalini gari ikiteketea kwa moto

Mmoja afa ajalini gari ikiteketea kwa moto

Mbeya. Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kunusurika katika ajali baada ya roli  lililobeba  shehena za mizigo likielekea mkoani Dar  es Salaam  kuferi breki na  kugonga magari  manne na kisha kuwaka moto katika  mtelemko wa barabara kuu ya Mbeya-Iringa eneo la Pipe line Wilaya ya Mbeya Vijijini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ,Urlich Matei amesema…