#al-Aqswa

Wajordan wakusanyika mbele ya ubalozi wa Israel kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa

Wajordan wakusanyika mbele ya ubalozi wa Israel kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa

Makumi ya wananchi wa Jordan wamekusanyika mbele ya ubalozi wa utawala haramu wa Israel mjini Amman ambapo sambamba na kuulaani jinai za utawala haramu wa Israel wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa msikiti wa al-Aqswa. Waandamanaji hao wakiwemo wajumbe wa vyama mbalimbali vya siasa na wanaharakati wa asasi na jumuiya mbalimbali za kiraia wamesisitiza…

Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali hatua ya waziri Mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu ada kuvamia msikiti wa mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu. Taarifa ya Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri imeeleza kuwa, hatua ya waziri huyo ni ya kichochezi na inaonyesha kuingiwa na woga na wahaka…