Waziri wa Sheria wa jimbo la Kusini Magharibi mwa Somalia, Hassan Ibrahim Lugbur pamoja na mtoto wake wa kiume ni miongoni mwa watu kadhaa waliouawa katika shambulio la kundi la kigaidi la al-Shabaab lililolenga waumini waliokuwa wamekusanyika msikitini kwa ajili ya Swala mjini Baidoa, kusini mwa nchi. Watu wasiopungua 11 akiwemo mtoto mwingine wa kiume…