
Maandamano ya Siku ya Quds Duniani yafanyika mjini Tehran yakihudhuriwa na watu mbali mbali wenye matabaka tofauti kutoka kote nchini.
Kwa mujibu wa ripoti hii, mwaka huu, baada ya mapumziko ya miaka miwili ya kufanya maandamano ya hadhara ya Siku ya Quds Duniani kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona, uratibu wa kimsingi ulifanyika ili kuandaa maandamano makubwa yatakayofanyika kwa wakati mmoja sawia na maandamano ya mji wa Tehran, katika zaidi ya miji 900. Maandamano…

Siku ya Kimataifa ya Quds na matukio mapya ya kistratijia katika uwanja wa Palestina
Kama dalili zinavyoonyesha, mwaka huu Wapalestina wataadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds kwa msisimko na shauku maalumu. Huenda ni msisimuko na shauku hiyo ndiyo inayapa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds sifa maalumu na ya kipekee. Inaonekana kuna mambo kadhaa ambayo yameibua msisimko katika uwanja huo. La kwanza ni kuwa katika…

Mkutano wa Jordan na Israel wa kukagua Msikiti wa Al-Aqsa
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni viliripoti kikao cha maafisa wa utawala huo na viongozi wa Jordan baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kulenga Msikiti wa Al-Aqsa. Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, kikao cha wakuu wa Jordan na Israel kuhusu Msikiti wa Al-Aqsa kitafanyika kwa kiwango cha juu zaidi. Tovuti ya…