#aljazeera

Haaretz: Jeshi la Israel lakiri mauaji ya Shirin Abu Aqla

Haaretz: Jeshi la Israel lakiri mauaji ya Shirin Abu Aqla

Jeshi la Israel limekiri kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Al-Jazeera katika mji wa Jenin baada ya kupigwa risasi na wanajeshi wa Israel kulingana na uchunguzi uliofanyika kuhusu mauaji ya mwanahabari huyo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Fars, licha ya madai ya maafisa waandamizi wa utawala wa muda wa Kizayuni kwamba…

Kauli zenye kulaani kuuawa kishahidi mwandishi wa habari wa Al-Jazeera wa Kipalestina na wanamgambo wa Kizayuni.

Kauli zenye kulaani kuuawa kishahidi mwandishi wa habari wa Al-Jazeera wa Kipalestina na wanamgambo wa Kizayuni.

Pande mbalimbali zimesisitiza ulazima wa ufufunguzi wa mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa mauaji ya mwandishi wa habari wa Al-Jazeera. Shirin Nasri Abu Aqleh mwandishi habari Mpalestina wa Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar ameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel alipokuwa akiakisi machafuko katika kambi ya wakimbizi Wapalestina mjini Jenin. Kwa mujibu…