Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA). Pamoja na hayo na licha ya kupita takribani miaka miwili na nusu tangu kutolewa ahadi hizo, utendaji wa serikali ya Marekani wenye mgongano katika…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jalina Porter amejiuzulu baada ya miezi 16 ya utawala wa Biden bila kuweka wazi majukumu yake ya baadae.Lakini msemaji wa huduma ya kidiplomasia ya nchi hiyo alisema kuwa amejiuzulu. Gazeti la Washington Post Free Bacon liliandika katika ripoti yake kua: Baada ya miezi 16 ya utumishi,…
Wabunge wa jimbo la New York wamepitisha mswada wa kupiga marufuku uuzaji wa silaha za nusu-otomatiki kwa watu walio na umri wa chini ya miaka 21 Mswada huo unakuja chini ya wiki tatu baada ya mvulana wa miaka 18 kushambulia duka moja huko Buffalo, New York, na kuua watu 10, wengi wao wakiwa weusi. Seneti…