#Ash-Shabaab

Rais wa Somalia: Ukifika wakati mwafaka tutafanya mazungumzo na Ash-Shabaab

Rais wa Somalia: Ukifika wakati mwafaka tutafanya mazungumzo na Ash-Shabaab

Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema, kuhitimisha uasi wa utumiaji silaha unaofanywa na kundi la Ash-Shabaab unahitaji mbinu nyingine kuliko ya kijeshi na kwa hivyo utakapofika wakati mwafaka, serikali yake itafanya mazungumzo na kundi hilo lenye misimamo ya kufurutu ada. Rais wa Somalia amesema, kundi hilo lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda,…