
Mashirika ya kimataifa yatiwa wasiwasi na mgogoro wa chakula barani Asia
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na taasisi nyingine za Umoja wa Mataifa zimeripoti kuwa, idadi kubwa ya wakazi wa bara Asia hawana chakula cha kutosha kufautai kuongezeka ukosefu wa usalama wa chakula uliosababishwa na kupanda kwa bei na kuongezeka umaskini katika jamii. Russia na Ukraine zina nafasi athirifu na muhimu…

Tanzania yauza tani 10,000 za nyama Bara la Asia
Arusha. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema katika kipindi cha miezi sita Tanzania imeuza nyama tani 10,000 katika nchi za Bara la Asia tofauti na miaka ya nyuma. Waziri Ndaki ameyasema hayo leo Julai 4 wakati ya akifungua warsha ya siku saba ya wataalamu wa sekta ya mifugo kutoka nchi za Jumuiya ya Maendeleo…

Ali Khamenei : Uongozi wa Muqawama Asia Magharibi wayakata makali majigambo ya ubeberu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, muqawama unaokua na kuzidi kupata nguvu katika eneo la Asia Magharibi umesambaratisha kiburi na majigambo ya ubeberu. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema hayo leo sambamba na kukaribia kumbukumbu ya harakati ya kihistoria ya wananchi wa Tabriz ya 29 Bahman 1356 Hijria Shamshia (18 Februari 1978) wakati alipozungumza kwa…