#australia

Iran: Ni kichekesho kwa nchi kama Australia kuzungumzia haki za binadamu

Iran: Ni kichekesho kwa nchi kama Australia kuzungumzia haki za binadamu

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Waziri Mkuu wa Australia ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran na kueleza kuwa, matamshi hayo ya Antony Albanese yametegemea taarifa za uongo. Nasser Kan’ani Chafi amemtahadharisha Waziri Mkuu huyo wa Australia akisema kuwa, matamshi kama hayo hayasaidii chochote…

Utawala wa Kizayuni wakasirishwa na Australia kubadilisha msimamo wake kuhusu Baitul Muqaddas

Utawala wa Kizayuni wakasirishwa na Australia kubadilisha msimamo wake kuhusu Baitul Muqaddas

Viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamesema wamekasirishwa na hatua ya serikali mpya ya Australia ya kufuta uamuzi wa serikali iliyopita wa kuitambua Baitul Muqaddas (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala huo ghasibu. Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia Penny Wong alitangaza Jumanne kwamba serikali ya Australia itafuta uamuzi wa baraza la…