Kuendelea ukandamizaji wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa wa kisiasa katika kukaribia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi
Katika kukaribia maadhimisho ya kutimia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi wa Bahrain, utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain unawazuia wafungwa wa kisiasa nchini humo kuwasiliana na kuoana na familia zao katika fremu ya sera zake za ukandamizaji na kuwawekea mbinyo na vizingiti mbalimbali wafungwa wa kisiasa na wapinzani nchini humo. Mwaka…
Ufalme Bahrain wazuia maandamani ya kulaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu
Kundi kuu la upinzani nchini Bahrain, Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, limelaani utawala unaotawala wa kifalme wa ukoo wa Al Khalifa kwa kuwazuia Waislamu kufanya maandamano ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur’ani barani Ulaya. Siku ya Ijumaa, vikosi vya usalama vya Bahrain viliwakamata makumi ya raia waliokuwa wakienda kufanya maandamano hayo. Pia walifunga njia…
Mwanazuoni wa Bahrain: Ni haramu kuwauzia ardhi Mayahudi
Imamu Sala ya Ijumaa katika mji wa Al-Diraz nchini Bahrain, amesema kuwauzia ardhi Wayahudi ni sawa na kuiuza nchi na ni haramu. Septemba 2020, viongozi wa Bahrain na wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel walisaini makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida katika hafla iliyofanyika Ikulu ya White House mbele ya rais wa zamani wa Marekani Donald…
Mwanazuoni mkuu wa Bahrain asisitiza muendelezo wa Jihad, mageuzi
Kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini wa Bahrain, Sheikh Isa Qassim amesisitiza kuendelea kwa njia ya Jihad na mageuzi katika nchi hiyo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi. Mwanazuoni huyo mwandamizi ametoa maoni hayo, ambayo yalichapishwa kwenye akaunti yake rasmi ya Twitter, kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi. Hii ni siku ya wanafikra watukufu kufanya upya…
Muungano wa Februari 14: Utawala wa Aal Khalifa Bahrain umetengwa
Muungano wa Februari 14 ambayo ni harakati ya upinzani nchini Bahrain umetangaza kuwa, utawala wa Aal Khalifa umepoteza muungano na waitifajki wake na hiivi sasa uumetangwa kikamilifu. Ibrahim al-Aradi, Mkurugenzi wa Ofisi ya Kisiasa ya Muungano wa Februari 14 amesema kuwa, utawala wa Aal Khalifa umetengwa hasa baada ya kuvurugika muungano na waitifaki wake na kwamba,…
Wabahrain waandamana kulaani safari ya Rais wa Israel nchini kwao
Maandamano makubwa ya kupinga safari ya Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel yamefanyika katika mji mkuu wa Bahrain, Manama. Waandamanaji hao wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisikika wakipiga nara dhidi ya utawala haramu wa Israel na kutangaza kuliunga mkono taifa madhulumu la Palestiina. Kadhalika waandamanaji hao mbali na kulaani jinai za Israel huko Palestina…
Kashfa ya uchaguzi Bahrain na uungaji mkono wa London kwa utawala wa Al Khalifa
Watafiti, wanaharakati wapigania mageuzi wa Bahrain na wanaharakati wa jumuiya za kiraia huko London wamefichua kashfa ya uchaguzi wa hivi karibuni huko Bahrain na kutaka kukomeshwa vigezo vya kindumakuwili vya serikali ya Uingereza kuhusu demokrasia na haki za binadamu. Bi Josie Thum, mtafiti wa ngazi ya juu katika Taasisi ya Haki za Binadamu na Demokrasia…
Kilichofanyika Bahrain ni uchaguzi au uteuzi tu wa watu?
Jana Jumamosi, ulifanyika uchaguzi nchini Bahrain wa kuchagua wabunge 40 wa Baraza la Wawakilishi na wajume 30 wa Mabaraza ya Miji. Maamuzi yanayopitishwa na bunge hilo la wawakilishi hayana ulazima wa kutekelezwa bali hupata nguvu ya utekelezaji yanapoidhinishwa na bunge la mashauriano inalojulikana kama Seneti, ambalo wajumbe wake wote 40 wanateuliwa na mfalme. Wagombea wote wa uchaguzi…