Uungaji mkono wa wanazuoni wa Bahrain kwa mpango wa Sheikh Isa Qassim; umoja wa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa
Kwa kuunga mkono taarifa iliyotolewa na Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kidini, dhidi ya utawala wa Aal Khalifa, wanazuoni wa Bahrain wamesisitiza udharura wa kuwepo umoja miongoni mwa wapinzani wa utawala wa kidikteta wa nchi hiyo. Tangu Februari 2011 hadi sasa, Bahrain imekuwa ikishuhudia maandamano na mapambano ya wananchi dhidi ya utawala wa kidikteta wa…
Ukandamizaji wa Al-Khalifa; Kukamatwa na kuteswa kwa ndugu watatu matineja wa Bahrain
Mohammed, Muqtada na Montazer Al-Kuwaiti ni ndugu watatu kutoka nchi ya Bahrain, wenye umri baina ya miaka 14 na 15, ambao walihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani na Al Khalifa mwaka 2021 kwa mashtaka ya uwongo pamoja na mateso na vitisho. Wameshtakiwa kwa kushiriki katika maandamano, utengenezaji wa vifaa vinavyoweza kushika au kusababisha moto, kusababisha…
Uteketezaji wa Bendera za Israel nchini Bahrain, hatua ya kulaani safari ya Bennett
Faraan : Waandamanaji wenye hasira nchini Bahrain wameteketeza kwa moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel wakilaani safari ya siku mbili ya Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Naftali Bennet katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi. Maandamano yamefanyika kote katika nchi hiyo huku waandamanaji wakikanyaga bendera za Israel na kuziteketeza huku wakiwa…
Mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa, kumbukumbu ya miaka 11
Februari 14, 2022 inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 11 ya mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa.Mchambuzi wa mambo kutoka Marekani, Graham Fuller ameangazia hali ya Waislamu wa Bahrain na kusema: “Waislamu wa Bahrain ni watu waliosahauliwa.” Mtazamo huu kuhusu Waislamu wa Bahrain umeonekana waziwazi katika miaka 11 iliyopita. Watu…