bahraini

Wabahraini waandamana kumuenzi Shahidi Ayatullah al Nimr

Wabahraini waandamana kumuenzi Shahidi Ayatullah al Nimr

Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ikiwa ni katika kumbukumbu ya kumuenzi Shahidi Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al Nimr kiongozi wa Waislamu wa Kishia wa Saudi Arabia aliyeuliwa shahidi na utawala wa Aal Saud. Utawala wa Aal Saud tarehe Pili Januari 2016 ulimnyonga Sheikh Nimr Baqir al Nimr mwanazuoni mtajika wa Saudi Arabia baada ya kufungwa…