#Bandari

Tani 60,000 za makaa ya mawe kusafirishwa nje ya nchi

Tani 60,000 za makaa ya mawe kusafirishwa nje ya nchi

Songwe. Waziri wa Madini, Dk Dotto Biteko amesema Serikali inatarajia kusafirisha tani 60,000 za makaa ya mawe kupelekwa nje ya nchi baada wa Shirika la Madini Taifa (Stamico) kuanza uzalishaji katika mgodi wa Kiwira-Kabulo Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe. Dk Biteko amesema hayo leo Jumamosi Julai 2, 2022 alipofanya ziara kukagua miundombinu katika mgodi…

Vigogo wanne wa bandari waburuzwa mahakamani

Vigogo wanne wa bandari waburuzwa mahakamani

Dar es Salaam. Waliokuwa wafanyakazi waandamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu, likiwamo la kuisababishia mamlaka hiyo hasara ya Dola za Marekani 1.85 milioni sawa na Sh4.2 bilioni. Washtakiwa hao ni aliyekuwa Ofisa Rasilimali watu, Peter Gawile (58), aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Manununuzi,…

Meli iliyobeba tani 5,623 za Sulphur yawasili Mtwara

Meli iliyobeba tani 5,623 za Sulphur yawasili Mtwara

Mtwara. Meli ya BOSS7 iliyobeba tani 5,623 za Sulphur ya unga leo Ijumaa Juni 24, 2022 imewasili mkoani Mtwara kutoka nchini Uturuki. Kuingia kwa meli hiyo inafanya jumla ya viuatilifu vilivyoingia nchini kufikia tani 10,170 katika ya 25,000 zilizoagizwa na Serikali. Shehena hiyo itagawiwa bure kwa wakulima baada ya wiki tatu, ikiwa lengo la kuimarisha kilimo…