Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina aliuelezea Uislamu kuwa ni dini ya amani, udugu na urafiki. Alisema wananchi wa Bangladesh watapata ujuzi wa kweli wa maadili na utamaduni wa Kiislamu kutoka kwa ‘misikiti ya kuigwa’ ambayo inafunguliwa nchini humo na halikadhalika katika vituo vya kitamaduni vya Kiislamu ambavyo vitawasaidia kutopotoshwa kwa jina la dini. Alisema,…
Moto na mlipuko mkubwa umesababisha vifo vya takriban watu 40 baada ya vifo 8 kuongezeka na mamia ya wengine kujeruhiwa kwenye ghala moja lililoko karibu na mji wa Chittagong nchini, Bangladesh. Mamia ya watu walifika katika eneo hilo kukabiliana na moto huo wakati makontena kadhaa yalipopuka katika eneo la Sitakunda. Mamlaka husika zinasema kuwa, chanzo…