#Barabara

Mmoja afa ajalini gari ikiteketea kwa moto

Mmoja afa ajalini gari ikiteketea kwa moto

Mbeya. Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kunusurika katika ajali baada ya roli  lililobeba  shehena za mizigo likielekea mkoani Dar  es Salaam  kuferi breki na  kugonga magari  manne na kisha kuwaka moto katika  mtelemko wa barabara kuu ya Mbeya-Iringa eneo la Pipe line Wilaya ya Mbeya Vijijini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ,Urlich Matei amesema…