Idhaa ya Kiingereza ya “BBC” ilitangaza kuwa kutokana na matatizo ya kifedha, itafunga redio zake za lugha ya Kiajemi na Kiarabu huku ikiwaachisha kazi mamia ya wafanyakazi wake. Wakati ikifichua habari za kufungwa kwa vipindi vyake vya redio kwa lugha za Kiajemi na Kiarabu, idhaa ya Kiingereza ya “BBC” iliripoti kuwa wafanyikazi wake 382 kote…