
Kibano kipya kwa wafanyabiashara
Dodoma/Dar. Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2022 unaoanza kujadiliwa leo umependekeza faini ya Sh100,000 kwa kampuni itakayoshindwa kuwasilisha taarifa za wamiliki wanufaika au kuwasilisha ritani. Adhabu hiyo itakayowahusu pia maofisa wa kampuni husika watakaochangia ucheweleshaji huo, itaenda sambamba na Sh10,000 itakayotozwa kila siku itakayozidi kabla ya kulipwa kwa faini husika. Muswada huo utakaojadiliwa bungeni,…

Serikali yapunguza tozo ya ving’amuzi
Dodoma. Serikali imepunguza tozo ya ving’amuzi nchini kufikia Sh500 hadi Sh2000 kwa kadri ya matumizi ya mteja baada ya majadiliano na Kamati ya Bunge ya Bajeti. Kabla ya majadiliano hayo tozo iliyopendekezwa katika makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya serikali 2022/23 ilikuwa Sh1,000 hadi Sh3,000. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Juni 2022/2023 na Mwenyekiti wa…

Serikali yapitisha Bajeti
Dodoma. Bajeti ya Serikali ya mwaka 2022/2023 ya Sh41.48 trilioni imepitishwa na wabunge leo Ijumaa, Juni 24,2022 baada ya wabunge 356 kati ya 379 kupiga kura za ndio.Akitangaza matokeo bungeni leo Ijumaa Juni 24,2022 Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema jumla ya wabunge 379 waliokuwepo bungeni walipiga kura. Amesema hakuna mbunge aliyesema hapana huku wabunge…

Mfumuko wa bei wafikia asilimia 3.7
Dodoma ; Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema katika mwaka 2021 mfumuko wa bei uliongezeka kwa wastani wa asillimia 3.7 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3.3 mwaka 2020. Dk Mwigulu amesema hayo leo Jumanne Juni 14, 2022 wakati akiwasilisha hali ya uchumi wa Taifa na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa…

Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah aaga dunia
Spika wa Bunge la Kitaifa la Uganda, Jacob L’Okori Oulanyah amefariki dunia akitibiwa nchini Marekani. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza kifo cha Oulanyah kupitia taarifa aliyoituma leo katika ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Twitter inayosema kuwa: Wananchi wenzangu, nasikitika kutangaza kifo cha Mheshimiwa Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge (la Uganda). Nilipokea habari…