#CAG

CAG Kichere naye alia na Tume ya uchaguzi ifumuliwe

CAG Kichere naye alia na Tume ya uchaguzi ifumuliwe

Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameishauri Serikali kuipa nguvu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuajiri watumishi wake watakaoweza kusimamia uchaguzi kwa haki badala ya kuendelea kutegemea waliopo kwenye mfumo wa Serikali. Mei 10, 2019, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya kubatilisha vifungu vya 7(1) na 7(3) vya…