Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kufanikisha upasuaji wa kutenganisha watoto Neema na Rehema walioungana na kuwaweka katika uangalizi mzuri. Upasuaji huo uliodumu kwa kwa saa saba, ulifanikiwa licha ya changamoto kubwa kwa watoto hao kuungana ini, moyo na baadhi ya tishu za ndani…
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum kikidai ni ‘haramu’ na kwamba uamuzi huo ndio takwa la kikatiba. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Juni 26, 2022 na Spika wa Bunge la wananchi la chama hicho, Celestine Simba alipozungumza na vyombo…
Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) imempendekeza Katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Abdulrahman Kinana kuwa mgombea nafasi ya makamu mwenyekiti (Bara) baada ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Philip Mangula kung’atuka. Hayo yamesemwa leo Alhamis Machi 31, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza na waandishi wa…