Chalinze. Moto umezuka ghafla katika Shule ya msingi ya Wavulana ya Chalinze Modern Islamic Mkoa wa Pwani nchini Tanzania na kuunguza bweni la Wavulana pamoja na kuteketeza vifaa mbalimbali vya wanafunzi ikiwemo nguo na madaftari. Moto huo umezuka leo Jumanne Julai 05, 2022 wakati wanafunzi wa bweni hilo wakiwa kwenye Ibada Msikitini kwenye eneo hilo. Mwenyekiti…