#china

Rais wa China: Uhuru wa Taiwan na kupatikana amani havitangamani kama maji na moto

Rais wa China: Uhuru wa Taiwan na kupatikana amani havitangamani kama maji na moto

Rais Xi Jinping wa China amesema Taiwan kuwa nchi huru na kupatikana amani katika Mlango-Bahari wa kisiwa hicho havitangamani kama yalivyo maji na moto. Kwa mujibu wa televisheni ya Russia Today, katika matamshi aliyotoa nje ya kikao cha G20, Rais Xi Jinping wa China amesema, suala la Taiwan liko katika orodha ya maslahi makuu na ya msingi…

Afisa wa jeshi la Marekani: Karibuni hivi tutaingia kwenye mapigano ya muda mrefu na China

Afisa wa jeshi la Marekani: Karibuni hivi tutaingia kwenye mapigano ya muda mrefu na China

Afisa mwandamizi wa jeshi la Marekani amesema karibuni hivi nchi hiyo itaingia kwenye mzozo na makabiliano ya muda mrefu na China na akatahadharisha juu ya kile alichoeleza kuwa ni kubaki nyuma Washington katika uwezo wa kijeshi mkabala na Beijing. Adimeri Charles Richard, mkuu wa Kamandi ya Kimkakati ya Jeshi la Wanamaji la Marekani, ametahadharisha kuwa,…

Xi Jinping achaguliwa kuendelea kuiongoza China

Xi Jinping achaguliwa kuendelea kuiongoza China

Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kimemchagua Xi Jinping kuendelea kuwa katibu wake mkuu kwa muhula wa tatu katika kikao kilichomalizika jana na hivyo kumuidhinisha kuendelea kuwa rais wa China. Kikao cha 20 cha Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kimefanyika mapema leo chini ya uwenyekiti wa Xi. Wanachama pia walimchakuwa Xi kuwa…

Umoja wa Mataifa: China imekiuka haki za binadamu za Waislamu wa Xinjiang

Umoja wa Mataifa: China imekiuka haki za binadamu za Waislamu wa Xinjiang

Umoja wa Mataifa umetoa ripoti inayoeleza kufanyika ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Uighur katika jimbo la Xinjiang nchini China. Ripoti hiyo iliyotolewa na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet imeeleza kuwa, madai ya mateso ni kweli na kuna uwezekano kwamba…

Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China

Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China

Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China. Edward “Ned” Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani…

Iran inaunga mkono kikamilifu sera ya ‘China Moja’, inapinga ‘uharibifu’ wa Marekani

Iran inaunga mkono kikamilifu sera ya ‘China Moja’, inapinga ‘uharibifu’ wa Marekani

Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema kuheshimiwa mamlaka ya kitaifa na kulindwa mipaka ya ardhi ya nchi ni miongoni mwa kanuni za kimsingi za sera za kigeni za Tehran huku akitangaza uungaji mkono thabiti wa Jamhuri ya Kiislamu kwa sera ya China Moja kuhusiana na Taiwan. “Uungaji mkono kwa sera ya China Moja ni sera…

Iran, Russia na China kushiriki katika mazoezi ya kijeshi Amerika ya Kusini

Iran, Russia na China kushiriki katika mazoezi ya kijeshi Amerika ya Kusini

Iran, Russia na China zinapanga kushiriki katika mazoezi ya kijeshi yatakayoandaliwa na Venezuela ili kuonyesho nguvu zao kwa Marekani. Maneva hayo ya kijeshi yanafuatia yale yaliyoandaliwa na Iran yakishirikisha majeshi ya majini ya China na Russia kwa anwani ya “Ukanda wa Amani wa Baharini 2022” katika eneo la kaskazini mwa Bahari ya Hindi. Mazoezi mbalimbali ya kimbinu…

Lancet: Yumkini virusi vya Covid-19 vilitokea katika maabara Marekani

Lancet: Yumkini virusi vya Covid-19 vilitokea katika maabara Marekani

Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet limesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua mamilioni ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara, na wala havikuanza tu peke yake. Jeffrey Sachs, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Covid-19 katika shirika la Lancet amesema, “Kwa mtazamo wangu, Covid-19 haikutoka katika hifadhi fulani asilia, bali ilitoka…