Wabunge wa jimbo la New York wamepitisha mswada wa kupiga marufuku uuzaji wa silaha za nusu-otomatiki kwa watu walio na umri wa chini ya miaka 21 Mswada huo unakuja chini ya wiki tatu baada ya mvulana wa miaka 18 kushambulia duka moja huko Buffalo, New York, na kuua watu 10, wengi wao wakiwa weusi. Seneti…