#Daesh

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Ulaya haiko tayari kuwarejesha raia wake wanachama wa Daesh walioko Syria

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Ulaya haiko tayari kuwarejesha raia wake wanachama wa Daesh walioko Syria

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iraq amesema kuwa nchi za Ulaya haziko tayari kuwarejesha nyumbani raia wa nchi hizo wanachama wa kundi la Daesh. Daesh na makundi mengine ya kigaidi mwaka 2017 yalisambaratika na kushindwa baada ya miaka minne ya operesheni kubwa za kigaidi huko Syria na Iraq na baada ya kukalia…

DAESH (ISIS) wametumia asilimia 90 ya silaha za Marekani katika operesheni za kigaidi

DAESH (ISIS) wametumia asilimia 90 ya silaha za Marekani katika operesheni za kigaidi

Mtaalamu mmoja wa masuala ya kiusalama amesema, asilimia 90 ya wahanga na waathirika wa ugaidi nchini Iraq hasa katika maeneo yaliyokombolewa wameuliwa kwa silaha za Marekani. Japokuwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh limeshindwa na kusambaratishwa katika nchi za Iraq na Syria, mabaki ya magaidi wa kundi hilo yangaliko katika nchi hizo na Marekani…

Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani

Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani

Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limetokana na fikra za Kimarekani. Kwa mujibu wa taarifa ya IRNA, Mamusta Abdulsalam Karimi Mshauri  wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini aliyasema…