Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema nchi kadhaa wanachama wa jumuiya hiyo zinafanya juhudi kuhakikisha Syria inarejeshewa uwanachama wake. Mnamo mwaka 2011 na kwa mashinikizo ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia kufuatia kuanza kwa mgogoro nchini Syria, Arab League ilichukua hatua ya kusimamisha uwanachama wa…